Marufuku ya biashara ya nguo za mitumba, wafanyabiashara tukimbilie wapi?

Hukumbuki sukari ilikuaje? Walioficha sukari walifanyiwa nn?
Ukikamatwa Kweli Utapata Shida Ila Usipokamatwa Utapiga Hela Ya Maana Utabadilisha Mishe Hence Life Lako Kwa Ujumla,,,,lakin Unaruhusiwa Kuogopa Na Kuishia Kulalamika Jf Wakati Haitasaidia Na Utaendelea Na Ulofa Ulio Nao ,,,its Really Your Choice There Are No Riches Without Risks,,,,,so Grow A Pair And Get The Money If U Lose U Lose Bt If U Win Tho,,,
 
Habari naomba ujumbe umfikie mheshimiwa... Mimi ni binti yatima sina baba kakangu ndo kanisomesha tangu form one mpaka chuo kikuu kwa hii biashara ya mtumba nmemaliza chuo nmekosa ajira nmeamua kujiingiza kwenye hii biashara ya mtumba..alafu Leo hii nasikia unaifungia.. MUNGU WANGU TUEPUSHE SISI WAJA WAKO AMINA
Kwa muandiko huu umemaliza chuo Kikuu?
 
Msomi wa chuo kikuu. ...usiwe mwoga. ..hata mitumba ikifungiwa utapata biashara nyingine ya kufanya. ..THINK BIG.

Kwani watu wote wanaishi kwa kuuza mitumba kama jibu ni NO. ..basi anza kufikiria plan B
 
Hii ni fursa..anza kujifunza kuhusu biashara za nguo zinazotengenezwa na viwanda vyetu...kama batiki...vitenge, na kanga....juwa jinsi ya kutengeneza faida kupitia bidhaa izo...kwa uzoefu wako wa biashara ya nguo....hautokwama...
 
Back
Top Bottom