Ndio. Accounting package ambayo ni kwa ajili ya simple management. CPA holder nitamtafuta kipindi cha kufunga hesabu za mwakaunatafta accounting package isiyohitaji CPA holder?? au sijakuelewa
Ndio. Accounting package ambayo ni kwa ajili ya simple management. CPA holder nitamtafuta kipindi cha kufunga hesabu za mwakaunatafta accounting package isiyohitaji CPA holder?? au sijakuelewa
NBAA haina tabia ya kutetea wahasibu zaidi ya kutoza ada tu.
Kuna watu hawana CPA(T) lakini wako vizuri sana technically.
Ndio. Accounting package ambayo ni kwa ajili ya simple management. CPA holder nitamtafuta kipindi cha kufunga hesabu za mwaka
Kama Kwenye idadi ya waliokutwa na vyeti vya kughushi kulikuwa na chief internal auditors na waweka Hazina hapo unapata picha gani ?!
yule dogo amedanganya madam, hakuna Acctg Package kwa ajili ya wasio na CPA na wala zisizo hitaji CPA(T)..
kwa sababu posting ni zilezile, huwezi post km hujui entries... utakuwa unaharibu kazi za watu
ukitaka ujue umuhimu wa CPA(T) subiri siku tax auditors kutoka TRA wakosee njia waje wakague ivyo vitabu vyako, ndio utajua umewekeza kwa ajili yako au kwa ajili ya serikali
utapigwa assessment ujute kwanini uliamua fanya bias hara
sawaMS******* MIMI HYO CPA(T) SINA ILA MIM NI FUNDI BALAA NAVIANDAA VITABU VIZURI, CPA SIMITIHANI TU KWANI KUNA KIPI KIGENI,VYOOTE WANAVYO VISOMA NIMEVIFANYA MZUMBE NI MUDA WA KUKAA TU NA KUPIGA MASWALI,WATUACHE TUTAFUTE PEASAA SISSI
Akili za kikarani hizi ....piga walau pepa mbili tu za intermediate akili ikae sawa ....Account package inatoa assistance nzuri kuliko mtu mwenye CPA.
Unachotakiwa ni kuwa na bando la Internet na kuanza kupakua app.
Akili za kikarani hizi ....piga walau pepa mbili tu za intermediate akili ikae sawa ....
acha aongee, nayeye si ana mdomo na anaweza kutype
ni kweli mouth
Tujadiliane utendaji wa CPAs wetu baadaye, ila sasa hivi hapa ni swala la sheria. Sheria ya Tanzania inazuia kuajiri mhasibu ambaye hakusajiliwa na NBAA, full stop. Iwapo NBAA wamsajili mtu siyekuwa na uwezo hapo itakuwa ni swala la kuwakaba koo hao NBAABe serious please, hiyo CPA(T) kimataifa iko wapi? Kawaangalie wenye CPA waliowengi kiutendaji ni kusikitisha. Nadhani tuanze na mjadala wa kuiboresha CPA kivitendo kwanza.
View attachment 596137
Pamoja na tangazo hilo la NBAA kwa waajiri wote Tanzania, bado kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa sheria hiyo ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu.
Katika makampuni mengi utakuta idadi kubwa ya wakaguzi hesabu, wahasibu, na mameneja fedha (wenye asili ya Asia, Wakenya, na baadhi ya Watanzania) wasio na CPA(T) wala ACCA.
Bado idara ya Uhamiaji imeshindwa kufanya kazi yake kiufasaha-kudhibiti raia hawa wakigeni wasio na sifa wala uwezo kuja kuchukua fursa za ndugu zetu wenye sifa tajwa na NBAA.
Hapa ndio utaona tofauti iliyopo kati ya ACCA na CPA(T), wenzetu waingereza wamefanya propaganda ya maana kufanya cheti chao kutambuliwa na kuheshimika kimataifa, lakini NBAA imeshindwa kusimamia cheti chao.
Hili limenipelekea mara mbilimbili kujiuliza kazi za NBAA-Tanzania.
Ni wito wangu, kwenu wanajamvi kutoa orodha/majina ya wafanyakazi wote Kwenye nafasi za Umeneja wa Fedha, Wahasibu/ wakaguzi wa Mahesabu wasio na CPA(T), wala ACCA waliopo kwenye makampuni mbalimbali hapa hapa Tanzania:- tajeni majina yao na kampuni zao hapa nami nitayakusanya na kuyapeleka NBAA wayafanyie kazi:-
Naanza na jina la kwanza:-
01. Dickson (Raia wa Kenya, kampuni ni Baker Tilly GDPl - huyu alikuja Kukagua bodi ya Mikopo kama Auditor, alisumbua sana kumbe hana CPA (T) ni Graduate tuu)
2.
3.
KWENYE MASHIRIKA YA UMMA NA SERIKALINI WENYE CPA NI WA WACHACHE SANA, WENGI WANA DEGREE TU WENGINE DEGREE ZA CHUPI NDIO MAANA HAWAWEZI KUFAULU CPA.Wahasibu bhana mwisho watasema hata konda wa daladala awe na CPA(T)
Kumbe ni bora kusoma cpa baada ya kutoka diploma kuliko kwenda kusoma degreeHuyo atakua aliajiriwa kama karani Grade II - boss.
Soma hii attachment toka NBAA, alafu useme mkeo yupo kundi gani
Kumbe ni bora kusoma cpa baada ya kutoka diploma kuliko kwenda kusoma degree
CPA ya bongo ile ya walimu waliosoma jioni km tuition na kupata cpa ya kukariri.Wanafundisha wanafunzi wao kwa kuwaambia wewe jua hii inakaa huku.Ukiandika tofauti utafeli? Wanafelishana na kufelisha waliotoka vyuoni ili waonekane eti wanafundisha vitu vigumu?Huu ujinga wa elimnu za kijamaa unatia kinyaa.View attachment 596137