Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

nchi hii watu wanapenda sana mavyeti kuliko utendaji...

badala ya kuboresha elimu iendane na uhalisia wanapigana majungu tu..

hata cpa ziwe mia kwenye kampuni... finance manager anakuwa mmoja tu,, chief accountant mmoja tu, ambao hata wakiwa na makarani 100 nyuma yao kazi hazikwami..

kampuni yoyote yoyote multinational hivyo vyeo wanampa anaeweza hasa hasa... sio sababu ana cpa ya tanzania ndio ulazimishe awe mhasibu kila sehemu
 
This is not fair!

Kwenye Soko Huria kuweka vikwazo vya kipumbavu ni upumbavu

Mie kwny Pharmacy zangu sijaajiri kabisa Mhasibu hiyo kazi nafanya Mwenyewe na mambo yananinyookea!
Mkileta udwanzi huo mtakuja na kutaka kila ofisi iwe na Afisa Utumishi anaetambuliwa sijui na bodi uchwara gani wakat hizo kazi any one anaweza kufanya hasa Private kwa Kampuni ndogo kulingana na capacity yake,
Kila Kampuni Ina pambana ku Minimize cost Ndio sababu utakuta Mlinzi pia anapewa jukumu la kufagia n.k

Hali za Kibiashara ni ngumu Na chamgamoto kweli itoshe hiyo challenge sio kila wakiamka wanawaza kupanga vikwazo na vigingi kwny Biashara za Watu
TRA na BOT kuna wahasibu wengi tu Wenye na CPA na ACCA Mbona wanaongoza kwa wizi na utapeli?

Na Halmashauri kibao yana hati chafu japo yana wasomi wengi tu
Nyie ndio tunawatafuta tuwageuze mashetani kamaa unajiita mhasibu na sheria ndogo kama hyo ya vipage kadhaa umeshindwa kuielewa siamini kama unaweza kutoa maelekezo mazuri ya matumizi ya madawa kwa wagonjwa
 
Nini maana ya degree ya uhasibu??
Nini maana ya degree ya finance??.

Kama ni hivyo basi ni vizuri vijana wetu wakimaliza form four wakasome hiyo CPA..
Ni hata maengineer wawe na hiyo CPA wafanye hizo kazi maana hawa jamaa the so called Engineers hawashindwi kazi...

Degree ya uhasibu na degree zote zihusuzo fedha zifutwe..na watu wawe na CPA tu...
 
WANACHOTAKA NI KUFANYA BIASHARA TU NA KWA VILE HALI NI NGUMU WATU WANALAZIMISHA MAGOLI YA MIKONO.O'LEVEL NIMESOMA BOOK-KEEPING MIAKA MINNE CHUO NIMESOMA MIAKA MIWILI FINANCIAL ACCOUNTING MAMBO NI YALE YALE.TUNAPOTEZEANA TU MDA KILA SIKU KUFUNDISHANA JAMBO MOJA,BONGO ELIMU YETU INAPELEKWA KIBIASHARA TU.
 
Hili tangazo ni la miezi iliyopita...wewe kama una cpa au acca sijui cima yako na huna ajira kajiajiri tuu.
 
This is not fair!

Kwenye Soko Huria kuweka vikwazo vya kipumbavu ni upumbavu

Mie kwny Pharmacy zangu sijaajiri kabisa Mhasibu hiyo kazi nafanya Mwenyewe na mambo yananinyookea!
Mkileta udwanzi huo mtakuja na kutaka kila ofisi iwe na Afisa Utumishi anaetambuliwa sijui na bodi uchwara gani wakat hizo kazi any one anaweza kufanya hasa Private kwa Kampuni ndogo kulingana na capacity yake,
Kila Kampuni Ina pambana ku Minimize cost Ndio sababu utakuta Mlinzi pia anapewa jukumu la kufagia n.k

Hali za Kibiashara ni ngumu Na chamgamoto kweli itoshe hiyo challenge sio kila wakiamka wanawaza kupanga vikwazo na vigingi kwny Biashara za Watu
TRA na BOT kuna wahasibu wengi tu Wenye na CPA na ACCA Mbona wanaongoza kwa wizi na utapeli?

Na Halmashauri kibao yana hati chafu japo yana wasomi wengi tu
Si hivyo tu. Kuna Watu wamemaliza form four wamekuwa trained kwenye biashara za Watu wanafnaya kazi za mapokezi, kesho cashier keshokutwa mtunza hesabu na kutengeneza report.

Kuna biashara/ taasisi huitaji CPA kwa jinsi mfumo ulivyotengenezwa.
 
Hili tangazo ni la miezi iliyopita...wewe kama una cpa au acca sijui cima yako na huna ajira kajiajiri tuu.
Kweli mkuu tangazo la long hili! kuna watu wamekariri kuwa ukiwa na vyeti vya cpa, acca, cima ushaukata! sasa sometime mambo hayaendi hivyo yanagoma na naona mleta uzi kaamua kupambana na watu au mtu fulani! ila sidhani kama itamsaidia!
 
mazee msitake kubisha vitu vya msingi, huo ndio utaratibu nchi zote, Ulaya, Marekani, Asia, n.k

na kote huko Uhasibu una level zake, na kila kitu kina maana yake...no point mwenye CPA/ACCA awe sawa na asie na CPA/ACCA

no point aliepita law school awe sawa na asiepita law school, kwahiyo kama hawapo sawa basi kila mmoja afanye kazi zake.

rudini darasani, msitegemee kubebana maofisini huko...nyinyi ndio mnaofanya Watanzania wanadharulika
 
kama unasema una CPA alafu hujui sheria (IPSAS/IFRS) ambazo ndio msaafu kwenye utendaji kazi wako wa kila siku, brother utakuwa unaharibu kazi za watu...daaah yani huogopi ata kujisema..
Boss wewe ni kilaza (in JPM voice)
Nani kakwambia sijui,nyie ndio maraia wagumu kuelewa!kwa taarifa yako mimi nafungia hesabu kampuni kibao mpaka halmashauri hizi. Nachosema kuwa pamoja na kujua kwangu lakini kuna vipanga zaidi yangu ambao hawana cpa. CPA ni kama sheria tu,huwezi kufananisha ujazo wa lissu na mwakyembe
 
Nielewavyo mimi ni kuwa kwa mujibu wa nbaa:

Mhasibu - mtu mwenye cpa (t)
Afisa mahesabu - ana shahada/stashahada ya juu
Mhasibu msaidizi - mwenye stashahada.

Majukumu pia yameainishwa
 
Kweli mkuu tangazo la long hili! kuna watu wamekariri kuwa ukiwa na vyeti vya cpa, acca, cima ushaukata! sasa sometime mambo hayaendi hivyo yanagoma na naona mleta uzi kaamua kupambana na watu au mtu fulani! ila sidhani kama itamsaidia!

They should know accounting packages has done it all.
 
Back
Top Bottom