Waliniudhi sana kutokuonyesha Marudio ya Mdahalo huo kwani kun watu ambao ulikuwa umewapita nikawa nimewajulisha na wao wakaona kabisa matangazo kwamba mdahoro huo utarudiwa saa nne na dakika 45 usiku huo gafla mieleka daah mengi kuwa na msimo tukujue wewe ni mwenzetu au Fisadi....Kuna taarifa za uhakika kuwa UWT kwa kushirikiana na ikulu walimbana Mengi kutokuruhusu marudio ya mdahalo wa DR SLAA katika kituo chake cha ITV hapo juzi kama ilivyokuwa imetangazwaa awali.
Ni kweli Bwana Mengi alikutana na Mgombea Uraisi wa CCM Ndugu Kikwete na maafisa waandamizi wa UWT na Ikulu na kuonywaa kutokuendeleaa kumpa nafasi ya kujitangaza zaidii Dr Slaa katika vituo vyake. Wewe ni mwanachama mwenzetu lakini unatugeuka...kwa ni nn? Aliuliza Ndugu Kikwete wakati wa kikao hicho.
Jamani hivi Mengi mpinga MAFISADI maekubalianaa nao????
Kama alitishwa namna hii, asikaidi, maana watamshughulikia mzee wetu!Kuna taarifa za uhakika kuwa UWT kwa kushirikiana na ikulu walimbana Mengi kutokuruhusu marudio ya mdahalo wa DR SLAA katika kituo chake cha ITV hapo juzi kama ilivyokuwa imetangazwaa awali.
Ni kweli Bwana Mengi alikutana na Mgombea Uraisi wa CCM Ndugu Kikwete na maafisa waandamizi wa UWT na Ikulu na kuonywaa kutokuendeleaa kumpa nafasi ya kujitangaza zaidii Dr Slaa katika vituo vyake. Wewe ni mwanachama mwenzetu lakini unatugeuka...kwa ni nn? Aliuliza Ndugu Kikwete wakati wa kikao hicho.
Jamani hivi Mengi mpinga MAFISADI maekubalianaa nao????
Hhahaha, huyo mzee naye yuko kwa maslahi ya biashara zake zaidi, unafiki wa kupambana na mafisadi si kwa faida ya watanzania but anatafuta sapoti wak wananchi ili wamuunge mkono ktk ushindani wa biashara zake na hao wahindi but kwa mtazamo wangu tofauti yao ni rangi tu.Agape wameshindwa kuwaingia kwani wale wanaongozwa na Roho ya Mungu