Elections 2010 Marudio ya mdahalo wa slaa itv wasitishwaaa -mengi akutana na jk

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Kuna taarifa za uhakika kuwa UWT kwa kushirikiana na ikulu walimbana Mengi kutokuruhusu marudio ya mdahalo wa DR SLAA katika kituo chake cha ITV hapo juzi kama ilivyokuwa imetangazwaa awali.

Ni kweli Bwana Mengi alikutana na Mgombea Uraisi wa CCM Ndugu Kikwete na maafisa waandamizi wa UWT na Ikulu na kuonywaa kutokuendeleaa kumpa nafasi ya kujitangaza zaidii Dr Slaa katika vituo vyake. Wewe ni mwanachama mwenzetu lakini unatugeuka...kwa ni nn? Aliuliza Ndugu Kikwete wakati wa kikao hicho.

Jamani hivi Mengi mpinga MAFISADI maekubalianaa nao????
 
Waliniudhi sana kutokuonyesha Marudio ya Mdahalo huo kwani kun watu ambao ulikuwa umewapita nikawa nimewajulisha na wao wakaona kabisa matangazo kwamba mdahoro huo utarudiwa saa nne na dakika 45 usiku huo gafla mieleka daah mengi kuwa na msimo tukujue wewe ni mwenzetu au Fisadi....
 
Sielewi ni mchezo gani unaendelea hapa kazi kweli kweli leo hivi kesho vile
 
Kuna taarifa za uhakika kuwa UWT kwa kushirikiana na ikulu walimbana Mengi kutokuruhusu marudio ya mdahalo wa DR SLAA katika kituo chake cha ITV hapo juzi kama ilivyokuwa imetangazwaa awali.

Ni kweli Bwana Mengi alikutana na Mgombea Uraisi wa CCM Ndugu Kikwete na maafisa waandamizi wa UWT na Ikulu na kuonywaa kutokuendeleaa kumpa nafasi ya kujitangaza zaidii Dr Slaa katika vituo vyake. Wewe ni mwanachama mwenzetu lakini unatugeuka...kwa ni nn? Aliuliza Ndugu Kikwete wakati wa kikao hicho.

Jamani hivi Mengi mpinga MAFISADI maekubalianaa nao????
Kama alitishwa namna hii, asikaidi, maana watamshughulikia mzee wetu!
Tuliokosa na tuangalie kwenye you-tube!
Simlaumu Mengi nchi hii wababe sana!
 
Agape wameshindwa kuwaingia kwani wale wanaongozwa na Roho ya Mungu
 
Kwa wale wakristu, Biblia takatifu inasema ni si vyema kwa mwanadamu kumuogopa yule anayeweza kuua mwili tu,Na hivyo basi ni heri kumuogopa yule anayeweza kuua nafsi na mwili (Mungu).Ni vizuri mtu asimamie kile anachokiamini no matter what.
 
Warudie wasirudiekuonyesha mdahalo kwenye itv haibatilishi kitu, ccm ndiyo wanafungasha virago taratibu, Mungu atafanya hila za sisim zitawarudi.
 
Agape wameshindwa kuwaingia kwani wale wanaongozwa na Roho ya Mungu
Hhahaha, huyo mzee naye yuko kwa maslahi ya biashara zake zaidi, unafiki wa kupambana na mafisadi si kwa faida ya watanzania but anatafuta sapoti wak wananchi ili wamuunge mkono ktk ushindani wa biashara zake na hao wahindi but kwa mtazamo wangu tofauti yao ni rangi tu.
 
Kupata haki ya kidemokrasia katika nchi hizi za kiafrika ni lazima ukaze msuli kweli kweli, mapambano bado yataendelea, haki lazima ishinde hata kama mtu akitumia hila za aina gani.
 
Mzee Mengi anajulikana, mi sishangai!!!!

Hata ile geresha ya kupambana na usfisadi ni kwa vile tu walim-side line kwenye dili za kuiba! All in all na yeye ni mwizi tu!!!:A S angry:
 
CCM wanazidi kujiaibisha tu hapa. Wale watetezi wa kikwete sijui watasema nini kuhusu hili
 
wanakumbuka shuka wakati kumekucha............kweli ccm ya sasa imekosa visionary leaders waliopo ni wapiga debe na waganga njaa tu km akina makamba na kinana.........yaani saaizi ndiyo wanaona wakifanya hivyo watakuwa wamefanikiwa?........AIBU Yako kikwete uliyewakosea adabu watz
 
Kazi ipo!!! Thanks GOD walishtuka baada ya tukio... that is imeshakula kwao....tayari ujumbe umeshafika
 
...Mbona hawamuulizi yule mzee Sabodo ambaye kila akijisikia anakata vjsent kwa Chadema hadharani ili kujenga Demokrasia na hakuna anayemuuliza kitu???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom