cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,989
- 79,175
Kabisa.
Mkuu nadhani bado hujanipata,hivi atakuwa na brain(kwa mujibu wa statement above the topic)halafu awe msalite?usaliti unakuja kwa kukosa au kupungukiwa brain.Najua bado hujanielewaKua na brain na kua mwaminifu ni vitu viwili tofauti mkuu!!! Zaidi atatumia brain yake kukusaliti bila wewe kujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante mie ingekuwa paper ningejibu ni UBONGO hahahahahahah
Ahsante Paprika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi!!!
Akili - Intelligence
Ubongo - Brain
Ila kwa matumizi ya msemo wanamaanisha akili.
Nimekuelewa sana ndo maana bado nakupinga!Mkuu nadhani bado hujanipata,hivi atakuwa na brain(kwa mujibu wa statement above the topic)halafu awe msalite?usaliti unakuja kwa kukosa au kupungukiwa brain.Najua bado hujanielewa
Umesema vizuri mpaka kuwe na jambo,lakini bado nasisitiza mwenye brain ananjia nyingi kutumia brain yake bila usaliti na akafanikiwa kutatua tatizoNimekuelewa sana ndo maana bado nakupinga!
Usaliti hauendani na ishu ya kua na brain! Zaidi nadhani mtu mwenye brain mpaka akusaliti basi kuna jambo!!!
Kuwa na brains or not does not determine infedility.Kama mtu Ana Tabia yoyote mbovu haiondoki kwasababu Ana akili..zaidi hizo akili zinamsaidia kuimprovise.Atakuwaje women with brain halafu achepuke?hapo bado msemo utakuwa hauja kamilika
Kwani tafasiri yakuwa na brain hapo unadhani imemaanisha akili?Kuwa na brains or not does not determine infedility.Kama mtu Ana Tabia yoyote mbovu haiondoki kwasababu Ana akili..zaidi hizo akili zinamsaidia kuimprovise.
Intelligence and emotions vitu viwili tofauti.Tumeona great leaders wenye akili ambao tamaa/lust imewaponza.Mfano Bill Clinton and Lewinsky scandal.Mwanamke au mwanaume mwenye brain hawezi kuchepuka.Anaye chepuka amepungukiwa
Kutokana na topic neno brain lilivyotumika nadhani limesimama kama uwezo wakuelewa nakuchanganua mambo,ingawa neno unaweza kulibadilisha utakavyo kutokana na mada utakayo iweka,sasa hao jamaa ulio wa mention walishindwa kuelewa na kuchanganua athari za usaliti haswa ukizingatia na heshima walizokuwa nazo ktk jamiii kwa wakati huoIntelligence and emotions vitu viwili tofauti.Tumeona great leaders wenye akili ambao tamaa/lust imewaponza.Mfano Bill Clinton and Lewinsky scandal.
Intelligence does not control emotions,will power does.
That's what we hope forKua na brain na kua mwaminifu ni vitu viwili tofauti mkuu!!! Zaidi atatumia brain yake kukusaliti bila wewe kujua