Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,504
Anataka kutupiga changa yule ili tuingize matatizo ndani. Wengi wamemsanukia anatupiga kabobo..Ndoa ni ngumu usawa huu, ukiwaza ukata, usaliti, ubinafsi, kununiwa, kelele dah. Inahitaji moyo wa chumaIla kuongea tu kwa watu kuwa ndoa yangu nzuri au kuelezea uzuri wa ndoa haitoshi kuamini km ndoa yake ni salama, ninaye rafiki wa karibu sana in anatoaga semina za ndoa,,jinsi ya kuishi na Mume/ mke,, kusali pamoja mamb mengi,,na anamotivate hasa,,Sikh zote nasema huyu ndoa yake ni tamu sana,,,Siku moja ananiambia Mara nyingi wananuniana na mume,,wanatengana vyumba Mara kwa Mara,,,mambo kibao ila akiongea unaweza tamani
Hata Chris anaweza kuwa anaongea vile kwakua ni kazi yake,,,