Marriage (What it is and why we do it)

Marriage (What it is and why we do it)

Na pia anaongea mambo mengi tu kuhusu wanawake na mengine yanachoma kama pasi lkn sie tunapokea ushauri bila kulalamika.
Wanawake tena tusipokee ushauri wa ndoa mume ahamie kwa mcheps, na hivi tunaanzaga kufundwa tangu tu tumezaliwa khee tunapokea tu. Yani wanaume wetu jamani khaa, wanatakaga tu kusikia habari za kuwafurahisha wao. Ndoa Inakuwa ni eneo lingine la kumuongezea raha mwanaume na kumtesa mke. Washindwe katika Jina la Yesu
 
Ndoa sio mbaya, hakuna kitu ambacho Mungu alikitengeneza afu akakiona ni kibaya,; vyote alivyovitengeneza Mungu ni vyema machoni pake including ndoa. Na hakuna taasisi ambayo Mungu ameiheshimisha kama ndoa. Ndo maana hata akaufananisha uhusiano wa mume na mke, na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Sisi wanandoa ndo tunaijitahidi kuidharaulisha na kuitukanisha ndoa kutokana na matendo yetu. Angalau hata kina Chris wa najitahidi kuonesha kuwa pamoja na chagamoto zote, still Ndoa ni kitu chema sana, so tushirikiane kuzipa uhai ndoa zetu.
Tatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake tena tusipokee ushauri wa ndoa, na hivi tunaanzaga kufundwa tangu tu tumezaliwa khee. Yani wanaume wetu jamani khaa, wanatakaga tu kusikia habari za kuwafurahisha wao. Ndoa Inakuwa ni eneo lingine la kumuongezea raha mwanaume na kumtesa mke. Washindwe katika Jina la Yesu
Wakati mwingine unatamani mawazo ya chriss mauki yahamie kwa mume wako teh..halafu mume mwenyewe hana muda wa kutafuta ushauri na mambo ya kuboresha penzi, yupo busy na mambo mengine kabisa
 
Mke akinuna unafanya marekebisho kuondoa huo mnuno, sio akinuna nawe unanuna, unaenda kucheka na washkaji bar hao sio wake zako
Teh kuna mwingine mkigombana tu kidogo eti anaenda kulala nje ya nyumba hadi hasira ziishe, sijui sisi ndo hatunaga hasira. Kutafuta tu excuse ya kwenda kwa micheps
 
Tatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..

Sent using Jamii Forums mobile app
If this comes from the depth of your heart and soul agiza unachotaka ntalipa! You must be one of a kind kama umeweza kung'amua kuwa ndoa si harusi ya gharama..Ndoa ni maisha baada ya harusi kuisha!
 
Teh kuna mwingine mkigombana tu kidogo eti anaenda kulala nje ya nyumba hadi hasira ziishe, sijui sisi ndo hatunaga hasira. Kutafuta tu excuse ya kwenda kwa micheps
Huyo atakuwa noma sana, kususia nyumba kabisa? Mpeleke kwa mauki tu amna namna
 
Wakati mwingine unatamani mawazo ya chriss mauki yahamie kwa mume wako teh..halafu mume mwenyewe hana muda wa kutafuta ushauri na mambo ya kuboresha penzi, yupo busy na mambo mengine kabisa
Kuna mwenzao sijui anaendaga kwenye seminar za Mauki na mkewe, Eeeh alivyoshambuliwa. Ila ingekuwa kasema ameenda vacation na hawara yake wangemsifia kweli eeh kidume. Waache watianage ujinga, wanaume wenye akili khaa wataucheka wakati. Wanaenjoy tu ndoa zao na wake zao, waache wengine waendelee kudumu kwenye ndoa
 
Tatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, wanawaza perfect wedding lakini hawako determined kujenga perfect marriage. Hili ndilo janga kubwa.

-Silasc-
 
Kusema ukweli mwanaume una jukumu kubwa la kuifanya ndoa yako iwe imara. Kutolitendea haki hili ndio limefanya baadhi ya wanaume tuwe walalamishi na chanzo cha upendo kupoa.

-Silasc-
Tatizo maisha yetu ya kibongo ni magumu..You have to spend most of your time toiling it up kwa ajili ya familia iendelee kustawi. Huo muda wa kufanya hayo ya kubebishana huku unadaiwa ada na kodi..huku bill zinakutazama. Mke ana kazi nzuri ila hela yake haiguswi anadai yeye aliagizwa utii tu, hapo kidume unahenyeka kuweka mambo sawa...sio kama hatupendi hayo siku upo free weekend umeshinda home gubu, aisee kuna wanawake wana kelele jamani
 
Tatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumezidi na sisi, mtu asipoolewa tutamyooshea vidole kama ana nini sijui. Ndo watu wanajionea waolewage tu hata wakiishia kuona mikato ya chumba haina shida, ashatoa gundu. Siku hizi kigezo cha kuolewa ni umri, as if ukifikisha tu miaka kadhaa basi you are ready/fit for marriage. Huyo mwanaume ndo anahisi kakufanyia favor kukuoa so ndoani atarelax tu, wewe ndo uhangaike kwa ajili ya ndoa dooh
 
Exactly, wanawaza perfect wedding lakini hawako determined kujenga perfect marriage. Hili ndilo janga kubwa.

-Silasc-
Huwa namwambia hilo mpenzi wangu always, you'll never live a happy life ukikurupukia ndoa. Fantasy za kuolewa Serena na gown la bei mbaya. Harusi superficial ndio zinawaangamiza wenzio hawana raha ndoani. Kubali maisha yako utakuwa happy always!
 
Unamsaidia majukum yake lakini? Au ndio umeagizwa utii tu...Anahenyeka mwenyewe kuhudumia familia?
Nyie kusaidiwa mnapenda kweli, ila ikifika muda wa kusaidia wake zenu "ooh kazi za kike". Mbona wanawake wengi tu wanasimamia show ya kuhudumia familia, ila still mume atataka hata uwe unamfumbua na kope ili aamke mweeh. Hakuna kitu kizuri kama wanandoa kutreatiana kwenye misingi ya utu
 
Sasa kweli heaven mmeo nioshe masufuria na beki 3 yupo mjengoni mamsap? Haya tuna mtoto wetu Sarah nae anakupiga tough akitoka shule...Muhimu nitakudekeza tu maana napata likizo ya majukum flani ila kupigishana deki hio labda ujaribu india na ufilipino!
 
Back
Top Bottom