Marriage (What it is and why we do it)

Marriage (What it is and why we do it)

Sasa kweli heaven mmeo nioshe masufuria na beki 3 yupo mjengoni mamsap? Haya tuna mtoto wetu Sarah nae anakupiga tough akitoka shule...Muhimu nitakudekeza tu maana napata likizo ya majukum flani ila kupigishana deki hio labda ujaribu india na ufilipino!

Mmmh nyie hata mbaki wawili ndani ya nyumba na mwenzio anaumwa, still utaambiwa "jikaze tu", ilhali mume ni mzima wa afya na yupo tu. Huko kumdekeza mwenzio si ndo mnaita ufilipino?
 
Tatizo maisha yetu ya kibongo ni magumu..You have to spend most of your time toiling it up kwa ajili ya familia iendelee kustawi. Huo muda wa kufanya hayo ya kubebishana huku unadaiwa ada na kodi..huku bill zinakutazama. Mke ana kazi nzuri ila hela yake haiguswi anadai yeye aliagizwa utii tu, hapo kidume unahenyeka kuweka mambo sawa...sio kama hatupendi hayo siku upo free weekend umeshinda home gubu, aisee kuna wanawake wana kelele jamani
Kubebisha inahitaji masaa mangapi?
Mbona Michepuko tunaibebisha? Tujenge ndoa tuache bla bla
 
Pole kwa kutendwa, mapenzi ni kama kula tu hata chips kuku zinaweza kukuvuruga tumbo japo unazipenda kuliko vyakula vyote!

Sikutendwa isipokuwa kuna viumbe wamejaliwa kutoa zawadi iitwayo "usaliti wa kuaminiwa" unakuja kuifungua inbox too late
 
Tumezidi na sisi, mtu asipoolewa tutamyooshea vidole kama ana nini sijui. Ndo watu wanajionea waolewage tu hata wakiishia kuona mikato ya chumba haina shida, ashatoa gundu. Siku hizi kigezo cha kuolewa ni umri, as if ukifikisha tu miaka kadhaa basi you are ready/fit for marriage. Huyo mwanaume ndo anahisi kakufanyia favor kukuoa so ndoani atarelax tu, wewe ndo uhangaike kwa ajili ya ndoa dooh
Tena siku hizi hizo Habari ni nyingi jaman. Ukipata kuona photoshoots za maharusii uwiiiiii wanapendeza,wananoga..watafute afta 6months balaa jinamizi kashaingia.
Wanawake wengine wanakuwa desperate mpaka unawaonea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh kuna mwingine mkigombana tu kidogo eti anaenda kulala nje ya nyumba hadi hasira ziishe, sijui sisi ndo hatunaga hasira. Kutafuta tu excuse ya kwenda kwa micheps
Akienda namuombea agongwe goti na boda pumbaav 😀
Roho mbaya
 
If this comes from the depth of your heart and soul agiza unachotaka ntalipa! You must be one of a kind kama umeweza kung'amua kuwa ndoa si harusi ya gharama..Ndoa ni maisha baada ya harusi kuisha!
Hahhahaah shukrani. It's true wengi wanapenda wedding za reference. Ya flani ilikuaje inabidi nimzidi...halafu akishamzidi akiingia ndoani sijui vinaapply pia[emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana ndoa nyingi hazidumu these days..watu wapo too materialistic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutendwa isipokuwa kuna viumbe wamejaliwa kutoa zawadi iitwayo "usaliti wa kuaminiwa" unakuja kuifungua inbox too late
Na hio ndio gharama ya kumuamini binadamu mwenzio kwa 100%. Next time jenga hali ya kutegemea lolote laweza tokea.
 
Huenda amebahatika kupata ndoa nzuri anataka auaminishe umma kuwa ndoa nyingi ni pepo, but kiuhalisia majority ya ndoa za ki tz ni hell!
Tatizo lipo pande zote mbili japo chanzo huenda ni Kati ya wanandoa. Usaliti ukiachana na tabia unasababishwa na kutoridhishana kimapenzi na kukosekana Kwa Salio la kutosha kumtunza mwanamke. Hasa wa Kiswahili, ambae anaamini ni wajibu wa mwanaume kumtunza kwakila Hali.

Mwanzo yanaanza mapenzi. Kisha maisha. Hapo kwenye maisha ndio Changamoto. Hasa baada ya kuwa tumeshaonjana Sana. Uzuri wa nje haunatija tena maana ndani tunakujua.

Bura uzae watoto ulee. Kuliko kuoa Kwa Karne yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, na hawa Wanaume ngozi nyeusi wasivopenda kuambiwa ukweli, role model wao ni yule "mimi sipangiwi"
Hahaha hapo kwa role model hututendei haki hehehe

brain is the beautiful part of the body.
 
Umeshaweka akilini kuwa wanawake wote viburi. Hayo maperuvian kama huyapendi kwanini umchukue mwanamke wa hivyo? Duniani kuna wanawake wa aina mbali.mbali. nenda kwa yule unayeona anafaa. Mbona wapo !!! Usigeneralize vitu...watu hawafanani
wewe mwenyewe unagenerlze mambo umetoka kusema hapa huo ni ukweli ambao wanaume hawapendi kuusikia,unahukika gani ?akigeneralize na wee tulia hivyo ndivyo mlivyo,haya yote aliyaleta adamu mwanamke hakuwa kwenye mpango wa mungu shit marriage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mwenyewe unagenerlze mambo umetoka kusema hapa huo ni ukweli ambao wanaume hawapendi kuusikia,unahukika gani ?akigeneralize na wee tulia hivyo ndivyo mlivyo,haya yote aliyaleta adamu mwanamke hakuwa kwenye mpango wa mungu shit marriage

Sent using Jamii Forums mobile app
.

Siwezi kugeneralize maana huyo mauki mwanaume.
Mwanamke hakuwa kwenye mipango ya mungu kivipi?
 
Ila kuongea tu kwa watu kuwa ndoa yangu nzuri au kuelezea uzuri wa ndoa haitoshi kuamini km ndoa yake ni salama, ninaye rafiki wa karibu sana in anatoaga semina za ndoa,,jinsi ya kuishi na Mume/ mke,, kusali pamoja mamb mengi,,na anamotivate hasa,,Sikh zote nasema huyu ndoa yake ni tamu sana,,,Siku moja ananiambia Mara nyingi wananuniana na mume,,wanatengana vyumba Mara kwa Mara,,,mambo kibao ila akiongea unaweza tamani

Hata Chris anaweza kuwa anaongea vile kwakua ni kazi yake,,,
 
Ndoa ni uamuzi tu ...kama ukiwa bado nafsi yako ipo kwenye SINGLE....kutwa utaona upo SHIMONI..ila km umeamua kuishi na mwenza kwa moyo mmoja basi NDOA ni FAHARI KUBWA TU...na wala sioni wa KUMLAUMU kati ya mwanamke na mwanaume SABABU kutwa tunapishana GUEST HOUSE na WANANDOA WAKE kwa WAUME....hakuna wa kumtwisha mwenzie zigo la MIIBA...kama BADO unajiona ni MZINZI baki single..usije ukaleta visingizio wakati sababu ya KUVUNJIKA KWA NDOA NI WEWE KUKOSA UAMUNIFU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi anaandika uzi huu wa kuvunja wenzie moyo anasahau kuna mwanamke mmoja alijitoa miezi tisa kumfanya yeye awepo...mitoto mingine taabu tupu!
kwahiyo huyo mwanamke alimuokota akamuweka tumboni?
 
Ndoa ni Project(mradi) ya jamii kwa ajili ya kuzaa watoto na kuwalea(kundeleza kizazi).Kwahiyo kama tutaangalia ndoa kama Project,tutaondoa matatizo mengi sana.Tatizo ndoa nyingi zinaanza na dhana ya "mapenzi".Sasa mapenzi huisha,mapenzi yakiisha na ndoa imeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom