Mauki ni mwanasaikolojia na mshauri wa mahusiano. Mnadhani kuna siku atasema ndoa ni mbaya?. Y'all get serious.
Halafu kupata mtu mnaeendana katika mambo mbalimbali ndio mzizi wa maelewano. WaTZ inabidi muelewe, kama mnaweza kuzaliwa katika familia moja, lakini ndugu mkawa tofauti kabisa; unafikiri ni rahisi kumbadilisha mwenzako?.
Lets get real here, huwezo ukambadilisha mwenzako katika mahusiano, au wewe kujibadilisha ili ya-work out. Mnaoana miaka ya 20-30, umeshakuwa sugu wa tabia yako.
This isn't telemundo. People dont change. Ila pale mnapoendana kimitazamo, ndipo mnakuwa katika mahusiano hai.
Inabidi ikumbukwe utaishi na mtu huyo mpaka kifo kiwatenganishe, hivyo ni vizuri kuwa makini kwa sababu baada ya muda utachoka ku-pretend, na kurudi to your original self.
Stop this bullshit of nani anakosea na nani yupo sahihi.
The problem is, mliingia kwa sababu mnapendana TU, na sio kwa sababu mnaendana.
Face it, y'all, Love dies. Hivyo kumbuka ndoa isifungwe kwa ajili ya mapenzi TU.
Sent using
Jamii Forums mobile app