Marriage (What it is and why we do it)

Marriage (What it is and why we do it)

Kidogo tu ila mostly stress ndio zinatufanya tusiwabebishe na uchovu wa shughuli. Ila naamini kama ukijitoa na kusema "baba J naomba nikusaidie kupunguza bills hizi na zile walau tuweze kupata time ya kuinjoy wote pamoja muda mwingi" sidhani kama kuna kidume atachomoa hapo!
Hudumia family usaidiwe nini asee
 
Ndoa ni kitu kizuri saana ktk maisha ya mwanadamu, tatizo la ndoa ni pale tunapokosea ktk teuzi za wenza wetu.

Kipi tunazingatia ktk teuzi zetu za kuwapata watu wa kushirikiana nao ktk jukumu la hadharani na sirini, hakika binadamu yeyote akifanikiwa hapa daima atakuwa ni MTU kwenye furaha.

Na akishindwa hapa hataona faida ya ndoa na kuna ni mikosi mitupu, maana lazima tukubali kuwa kuna wanaume wengine hawafai kuwa MUME.

Khali kadharika kuna wanawake wengine hawafai kuwa WAKE, si makosa yao ndivyo walivyo wanamapungufu mengi ya kuvumiliana yaani hawavumiliki.mdomo si mdomo, ulevi si ulevi.

Ukahaba ndo usiseme, umbeya ndo kwao uchoyo ndo kabisaa, usafii mama wee, kutwaa kushindwa nyumbani hapana, kujali familia kujua wamekula, wanaenda shule, wamerudi nn kinahitajika kwao ni pombe pombe na kuzurura tu.

Lkn ktk khali zenu za utajiri, Uwezo wa kati au umaskini mkikaa na kuvumiliana mapungufu yenu Yale yanayovumilika na kurekebishika hakika ndoa ni kitu cha faraja.


Baada ya baba/mama yako aliyekuogesha na kushika kila eneo la mwili wako bila KINYAA, anayefuatia ni mke/mume hawa ndo ktk khali ya utu uzima wanajaliana ktk shida na Raha.

Vinginevyo subiria siku umeumwa ugonjwa kwenye kinyaa jirani zako,ndugu zako watanunua sabuni ya MCHE na kushika wote huku wakikupaka na kukumwagia maji kwa kopo lenye mshikio mrefuu.

Tuithamini ndoa, ndio chanzo cha familia bora ktk jamii watoto wanaotoka kwenye familia vumilivu huwa bora miongoni mwa jamii
 
Ndoa ni mkataba unaohalalisha mahusiano ya mume na mke.umuhimu wa ndoa
1.mwanzo ni ibadaa
2.inazuia uzinifu
3.inapanua ukoo
4.kwa imaani ya kiislamu ukifa bado utakua ukipata jazaa ya matendo yko kupitia watoto wko kama utakua umewalewa kisawasa.
Ima pia ndoa ni mitihani yke na ili kiepuka io mitihani lazma ktka uchumba uchague mwenza mwema mwenye dini na tabia.alafu pia lzma watu wasome nini,umuhimu wa ndoa,changamoto ya ndoa kabla ya kuingia ktk ndia
 
Mmezoea kuongea negative tu kuhusu ndoa, Ndio maana mauki anasifia mnamuona sio.

Wanaishia kusema eti anaigiza na anatafuta pesa.
Wakati mwenzao kaamua/wameamua kuishi maisha ya ndoa yatakiwavyo kuishi.
Mpaka siku watakapoacha kuiwazia ndoa vibaya, ndipo watakapoanza kuzifurahia ndoa zao, kama ambavyo baadhi wapo wanaozifurahia.
 
Back
Top Bottom