Marriage (What it is and why we do it)

Marriage (What it is and why we do it)

mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
248
Reaction score
268
1. What it is: It is willingness of giving away to someone POWER TO DESTROY YOU AND TRUSTING THAT THEY WONT

2. Why we do it: We do it because we want/need someone to share the rest of our lives with.

N.B Take note all of you who are getting married today and for those of you who are married already, table your advise in the comments below.
 
Huenda amebahatika kupata ndoa nzuri anataka auaminishe umma kuwa ndoa nyingi ni pepo, but kiuhalisia majority ya ndoa za ki tz ni hell!
Amebahatika kupata mke ambae wanaelewana. Goal yao kuhakikisha ndoa yao inadumu. Na sidhani kama wapo perfect bali wanajitahidi kufundisha yale yanayofundishika. Tatizo wanaume hampendi kujifunza mpo mpo tu. Jengeni ndoa zenu bana
 
Wanawake wenyew wa kizazi cha peruvian/brazilian hair nyie, mnaanzaje kuelewana baada ya kuzoea ndoa, mwendo wa viburi flow na kujinunisha ovyo ubinafsi sasa kama kazi.
 
Hawapendi kushauriwa
Kiukweli mi napenda kushauriwa na nasikiliza, ninavyoona ndoa nyingi zinapondeka kwa sababu ya kukosa maridhiano baina ya wenza ama kutotoa ushirikiano ipasavyo katika uhusiano...
Well mkifanya perfect match ndoa yeyote lazma iwe nzuri tu provided hakukuwa na pretending toka awali!
 
Wanawake wenyew wa kizazi cha peruvian/brazilian hair nyie, mnaanzaje kuelewana baada ya kuzoea ndoa, mwendo wa viburi flow na kujinunisha ovyo ubinafsi sasa kama kazi.
Umeshaweka akilini kuwa wanawake wote viburi. Hayo maperuvian kama huyapendi kwanini umchukue mwanamke wa hivyo? Duniani kuna wanawake wa aina mbali.mbali. nenda kwa yule unayeona anafaa. Mbona wapo !!! Usigeneralize vitu...watu hawafanani
 
Amebahatika kupata mke ambae wanaelewana. Goal yao kuhakikisha ndoa yao inadumu. Na sidhani kama wapo perfect bali wanajitahidi kufundisha yale yanayofundishika. Tatizo wanaume hampendi kujifunza mpo mpo tu. Jengeni ndoa zenu bana
Na ndoa ni watu wawili, hawa wao wanataka kuona mwanamke anapambana kuijenga wao pembeni tu wanakuna pmb
 
Anasema ukweli ambao hamtaki kuusikia
Nimemsikia ila tatizo its less practical...siamini kama utaishi na mumeo milele hamjagombana. The guy doesn't give a touch ya hilo...ina maana hajawahi nuniwa na mkewe!?
 
Marriage is popular because it combines maximum of temptation with maximum of opportunity. Ndoa oyee!
 
Back
Top Bottom