Marriage vs non-marriage materials

Ndio maana mie nimeamua kuwa nitakapooa naoa msichana ambaye hajaelimika sana na mwenye urembo wa asili na wa kawaida watu wanapata shida kwenye ndoa kwa kupuuza ushari wa wazee amabao sio wajinga wanapokushauri oa/olewa mwanamke/mwanaume mwenye sifa a,b,c

Kumbe bado hujaoa Mfukunyuzi ..nadhani weye utamuomba Bibi Kijijini akuchagulie mwanakondoo aliyenona sana tayari kwa sikukuu
 
we bwana TUKO ..mbona ivi?mbona wantaka ya moyoni?mbona wantaka ya akiba we mwanaume asubui asubui i? yan umesema m nt wife materila?so uyu aliyenioa kala chaka?
kwa measure ipi bwana wewe umetumia kutamka if nt kuprovoke maneno haya?
sasa ni ivi naachika kwa mume wangu naja kwako unioe ili uprov m wife materia..
kwa taarifa yako m married wth 3kids n 1 zygote so pleeeeeees nxt tym kuwa makin lasivyo i wl teach u a lesoon u wl neva foget..!!!!!!!!
habar yako bana?
wife material hapimw kwa nguvu ya keyboard kaka ....!!!!!!!!
nfate uku nyamasobwa ninakoishi nikufanye mume wangu kwa wk moja then urud kuwatangazia mataifa na makutano yote that m wife material o nt!!!!!!!!jiandae

You made my day! Rose ckuwezi ww
 
i lov jamii, its so interesting......@rose u make me laugh, @tuko how did you come to this conclusion... @ asprin i get a direct message that you can be married but your not a wife material but.....what constitutes to know exactly this is a wife material i'm abit puzzled? mtoa mada help with this since im not married yet it might help alot in my determinants......
 
Hehehe hapo kwenye bold kumbe Asprin ni demu sikujua
 
Ajipeleke kwa Teamo.....hakuna haja ya maelezo....
Banned: Smiles
Reason: Giving false information on her wifey disqualification...

Duration: Unspecified!

Asprin and only Asprin who has the right to uplift this ban..

Katibu andika hiyo... Afu upige na mstari chini ya hii sentensi: SMILES SIYO WIFEY MATERIAL....Dont date her for marriage purposes! Only for INFII.
 
Tayari...done....kwani kuna mtu anaamini?
 
@mfukunyuzi and @roya roy read between the lines "i get a direct message that you can be married but your not a wife material" meaning marriage does not cover you that a lady is married then is a wife material @asprin it mis contentions bro.....
 
i lov jamii, its so interesting......@rose u make me laugh, @tuko how did you come to this conclusion... @ asprin i get a direct message that you can be married but your not a wife material but.....what constitutes to know exactly this is a wife material i'm abit puzzled? mtoa mada help with this since im not married yet it might help alot in my determinants......

Hehehe hapo kwenye bold kumbe Asprin ni demu sikujua

Asprin ni neutral gender....si hamna dawa za kike wala kiume??:dance::dance:
Hebu mtaarifu dazenp kwamba Asprin ana mamlaka ya BAN..

Katibu: Kati ya hao wawili hapo Juu nani anastahili BAN?

Angalizo: Jinsia izingatiwe kwa manufaa ya Chama Chetu.
 
Most sexy women are not marriage materials

Most marriage material women are not sexy (they may be beautiful)

Most sexy women are good for 'nyumba ndogo' or for short-term relations

Being sexy for a woman, doesn,t only refer to the physical appearance, but the behavior they potray, and how the respond to 'sex' stories. (you can have some relevant examples here in the jamvi... Maria roza, Rose1980, Smiles... as you can compare to just marriage materials like Gaivin etc)

Kwa asilimia kubwa, ni kweli. Hongera kwa uchambuzi wako!
 
Yaani nimeshangaa hadi nikashindwa kujibu niliyokuwa naulizwa humu. Eti wanawake hawapendi kuitwa (kujulikana) kuwa wao ni sexy?. not wifey material... Ukweli ni kuwa being sexy ni kipaji. Sawa na kuwa mcheza mpira maarufu, au msanii maarufu. for my knowledge, katika jamii yetu sexy girls wapo wachache sana sana, wengi wanapretend lakini sio.... Kwa hiyo being sexy is something to be proud of.

Nyie kina Rose1980, smiles, of coz mnaweza kuwa mmeolewa but the way mnavyochangia hoja hapa, at least makes you seem to be sexy (if not pretending). Kuwa mmeolewa sio ishu. Kuolewa wito, sawa na kaz fulani. Kwani kila anayefundisha ana wito wa ualimu? Actually, kuolewa siku hz wadada mnachukulia fasheni tu, wengi wenu you are either not ready or you are not wifey materials at all.

So, don't feel bad if you are sexy, ni kipaji kama mlikuwa hamjui. Na usiwashangae watu wa ISC hapa kina Asprin, Roya, Teamo n.k, unafikiri wangekuwa na sexy wives wangekuwa kwenye hicho chama. Ishu ni kuwa wana-wifey materials nyumbani kwao wanoweza kudiscuss nao maendeleo ya watoto, sijui kiwanja, nyumba, anko aende shule, lakini linapokuja suala la malavidavi hawa wamama wanapretend, na thats why infidelity is there to stay...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom