Marriage vs non-marriage materials

Duh! Maria Roza, Rose1980, Smiles........Poleni kumbe nyie si wifey material (as per your posts)

Gaijin...will you marry me?

Anyway, my wife is sexy and wifey material:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Ndio maana mie nimeamua kuwa nitakapooa naoa msichana ambaye hajaelimika sana na mwenye urembo wa asili na wa kawaida watu wanapata shida kwenye ndoa kwa kupuuza ushari wa wazee amabao sio wajinga wanapokushauri oa/olewa mwanamke/mwanaume mwenye sifa a,b,c
 
Hivi Smiles adhabu ya inakufaa kudanganya kwamba wewe ni wifey material, huku ukijua kwamba sivyo....?:mmph::mmph::mmph:
 
dah.. nimejicheki nikagundua mie ni marriage material kabisa
yani siko sexy, siko hendisamu, mpole sana... sipendi mammbo ya upigaji

I am every woman's hubby dream

and from today i declare myself as a marriage materials.... masharti na vigezo vimezingatiwa
 
Most sexy women are not marriage materials

Most marriage material women are not sexy (they may be beautiful)

Most sexy women are good for 'nyumba ndogo' or for short-term relations

Being sexy for a woman, doesn,t only refer to the physical appearance, but the behavior they potray, and how the respond to 'sex' stories. (you can have some relevant examples here in the jamvi... Maria roza, Rose1980, Smiles... as you can compare to just marriage materials like Gaivin etc)

Habarini za asubuhi...
we bwana TUKO ..mbona ivi?mbona wantaka ya moyoni?mbona wantaka ya akiba we mwanaume asubui asubui i? yan umesema m nt wife materila?so uyu aliyenioa kala chaka?
kwa measure ipi bwana wewe umetumia kutamka if nt kuprovoke maneno haya?
sasa ni ivi naachika kwa mume wangu naja kwako unioe ili uprov m wife materia..
kwa taarifa yako m married wth 3kids n 1 zygote so pleeeeeees nxt tym kuwa makin lasivyo i wl teach u a lesoon u wl neva foget..!!!!!!!!
habar yako bana?
wife material hapimw kwa nguvu ya keyboard kaka ....!!!!!!!!
nfate uku nyamasobwa ninakoishi nikufanye mume wangu kwa wk moja then urud kuwatangazia mataifa na makutano yote that m wife material o nt!!!!!!!!jiandae
 
Ok......
mkimaliza kujadili mtaniita nije kuona conclusion ni nini sawa eeh??
 
we bwana TUKO ..mbona ivi?mbona wantaka ya moyoni?mbona wantaka ya akiba we mwanaume asubui asubui i? yan umesema m nt wife materila?so uyu aliyenioa kala chaka?
kwa measure ipi bwana wewe umetumia kutamka if nt kuprovoke maneno haya?
sasa ni ivi naachika kwa mume wangu naja kwako unioe ili uprov m wife materia..
kwa taarifa yako m married wth 3kids n 1 zygote so pleeeeeees nxt tym kuwa makin lasivyo i wl teach u a lesoon u wl neva foget..!!!!!!!!
habar yako bana?
wife material hapimw kwa nguvu ya keyboard kaka ....!!!!!!!!
nfate uku nyamasobwa ninakoishi nikufanye mume wangu kwa wk moja then urud kuwatangazia mataifa na makutano yote that m wife material o nt!!!!!!!!jiandae
again sweety.... you may be married but not a marriage material...
you may have lots of kids, yet not a marriage material
you may love you husband, yet not a marriage material

according to Tuko, marriage materials lazma wawe hawana sifa fulani.... siamini though
 
we acha tu.... the dude needs lots of explanations to do

Ajipeleke kwa Teamo.....hakuna haja ya maelezo....
Banned: Smiles
Reason: Giving false information on her wifey disqualification...
 
kwan we ni hubby material?et sweeeet hat r u man enaf 2b called husband??
 
we bwana TUKO ..mbona ivi?mbona wantaka ya moyoni?mbona wantaka ya akiba we mwanaume asubui asubui i? yan umesema m nt wife materila?so uyu aliyenioa kala chaka?
kwa measure ipi bwana wewe umetumia kutamka if nt kuprovoke maneno haya?
sasa ni ivi naachika kwa mume wangu naja kwako unioe ili uprov m wife materia..
kwa taarifa yako m married wth 3kids n 1 zygote so pleeeeeees nxt tym kuwa makin lasivyo i wl teach u a lesoon u wl neva foget..!!!!!!!!
habar yako bana?
wife material hapimw kwa nguvu ya keyboard kaka ....!!!!!!!!
nfate uku nyamasobwa ninakoishi nikufanye mume wangu kwa wk moja then urud kuwatangazia mataifa na makutano yote that m wife material o nt!!!!!!!!jiandae
waweza kuwa hata na watoto wa5 lakini kama sio wife material sio tu sana sana mumeo anakuvumilia maana amekula kiapo cha maisha lol!
 
again sweety.... you may be married but not a marriage material...
you may have lots of kids, yet not a marriage material
you may love you husband, yet not a marriage material

according to Tuko, marriage materials lazma wawe hawana sifa fulani.... siamini though
na izo sifa ni reletive i might b nt wife to TUKO bt wife material to HATUKO..
SO WHAT HE SAYS YES T DOEST MEAN IS YES TO EVERBODY
YES M NT WIFE MATERILA TO HIM CZ HE S NT HUBBY MATERIAL 2ME
n by the way i dnt ave to prove m wife material to each n evebody ...nishaprove ilo kwa MY HUBBY THATS ONLY N ENAF FOR ME!!!!
so yes m nt wife material 2u TUKO............thats t!!
 
waweza kuwa hata na watoto wa5 lakini kama sio wife material sio tu sana sana mumeo anakuvumilia maana amekula kiapo cha maisha lol!

hahahah!hahah!!!! kumbe ennh??
bas nimepata mume bora sana ananivumilia ennh????dah m lucky woman to get him...ningempata mume km TUKO NINGEISOMA NAMBA!!!
 
Duh! Maria Roza, Rose1980, Smiles........Poleni kumbe nyie si wifey material (as per your posts)

Gaijin...will you marry me?

Anyway, my wife is sexy and wifey material:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:

mmh mwenzangu tupe tu pole kwa maana uyu shehe TUKO SJUI katoka wap!!!!!!
duu sa sjui inakuwaje kwa waume zetu?dahh kaz kubwa lakin wanatuvumilia mwaya maisha yanaenda!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom