Marriage for revenge

I don't care, nasubiri siku na saa.Hujawahi kusikia hii,Keep your friends close but keep your enemies closer.

Binti, hakika hujui utamanilo kufanya....Mungu akuepushie na vishawishi hivi vibaya
 
Nadhani hukutendwa vizuri na kama ulitendwa kiasi cha kumuwazia mabaya usingekubali kuolewa nae....ur too much in love na may be huna washauri wazuri cuz kama walidhubutu kuweka loud speaker ukamsikia unadhani wao hawaweki akakusikiliza? Just grow up and dont try to do stupid things in the name of fake revenge! SWEET REVENGE IS U TO STAY REAL AND BE A GUD WIFE AND MOTHER.....
 
Najua kuwa ninachokikusudia
sio kizuri. Ila kila nikikumbuka mabaya aliyonifanyia huwa nabaki
kujifungia na kulia sana amenitendea mengi mabaya.Hujui tu kuwa hata hii
ndoa nilijisacrifice namna gani...

pole,but kama unaamin hutalia tena,mlize tu.Na wengine wapate somo
 

Huwezi amini miezi minne iliyopita ningekusupport asilimia 110% kwasababu mtu wangu wa karibu alipitia njia hii hii na nilimsaidia panga bonge la revenge kama la emily thorn.
Lakini siku moja nkatafakari sanaa kabla ya excute ile plan,nkamwita nkamwambia kwann usiongee nae umeleze alivyo kuumiza??
Alipoongea na mume wake alilia na kujitia kumtreat vibaya hadi goti alipiga.
Why dont you try talking?communication is important.
 
Wala sitokei machame.Na sifikirii kuua hata kidogo but I want to do something
believe in god , hilo ndiyo suluhisho la mwisho acha ubinadamu ukae pembeni na wewe muweke mungu katika mambo yote na ndiyo maana hadi sasa ukampata , believe it was god's plan kuwa naye mpaka sasa otherwise utafeli na kulia usijue cha kufanya .
 
mmmh! umebarikiwa moyo unaosamehe
 
mmmh! umebarikiwa moyo unaosamehe
^^
Sio hivyo Mwallu, sikushituka kuona nia ya dada huyu kutaka kufanya anavyotaka kufanya
Rafiki yangu kipenzi yupo kaburini sasa kwa sababu ya shemeji yangu aliemuua kwa sumu kisa na mkasa allingia ktk ndoa na chuki zake. Mungu nae ni mwema mwanamke huyo yupo anatanua... Ulitaka niseme nini?
Mtoto wa mjomba wangu alinusurika kuchomwa kisu usiku wa manane mwaka 2009 akakimbia familia, kisa alikuwa hamsikilizi mkewe,, Hata Vanele atende analokusudia hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho.
Hii thread inanijaza uchungu wa rafiki yangu bure. GO AHEAD MAMA
^^
 
Ili litimie neno alilosema....''Huna vigezo vya kuwa mke'' duu una rohi ngumu unatimiza unabii wewe mwenyewe.
 
Maneno yenu yamenigusa sana...Nimelia sana namuomba Mungu anisaidie kuvishinda vishawishi.
 

Niliamua kukuoa ,nilipogundua dhambi niliyokutendea, nisamehe. Ninajitesa kwaajili yako. Mimi ni wako sasa na Ndoa mpenzi wangu ndio mali yetu sote.
Nashukuru leo umeniambia. Nakuombea uwe mama wa Taifa kuu katika Uzao wa tumbo lako. ASANTE
 

whaaaaaaaaaaaaat????? seriously??
 
Jmn dada,am happy kama moyo wako unajirudi,invest ur anger kwenye vitu vingine in life ,fanya mambo mengi kupoteza mawazo.au muone psychiarist,sijui ndo inaandikwa hvo,akusaidie kupunguza stress,
 

Hahahha duh we umetisha..!
 
wala sio wachonganishi,siku moja one of my friends alimuweka kwenye loud speaker nikamsikiliza bila yeye kujua.acha ndugu yangu aliropoka maneno sikuamini

Huyu aliyeweka loud speaker ndiyo mbaya wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…