Marriage for revenge

Marriage for revenge

Mnalala chumba kimoja? Kama ndio, inaelekea mna mgogoro wa chinichini. Nina wasiwasi kutokana na kukesha muda mrefu kwenye keyboard
 
vannele u never know,the secret revenge plan u hav may end up hurting u twice than your expectations,the best way of dealing wit marriage doldrums is not running away but rather solving them.
 
Wanawake wengi wanataka ndoa ili kujweka rekodi yao kwamba walifanyiwa kichenpati, sendoff, kupewa zawadi na sio kuwa tayari kuyaishi maisha yenyewe.
 
[TABLE="width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]kuna vitu vingine wanadamu huwa tunajitafutia presha! unajua Vannele, mpaka huyo jamaa kuamua kukuoa wewe... alishajuta tu!! msamehe bure kwa upumbavu wake bana! kumbuka mafunzo ya kwenye vitabu vitakatifu.. unamkumbuka yule jamaa aliyemtukana mfalme? mkewe si ndie aliyeenda kumuokoa ili asinyongwe?.. si unakumbuka Vannele?
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
kitu cha msingi hapa ni kuhakikisha upendo upo katika ndoa yako Vannele, and not otherwise, ukiwa na roho ya ulipizaji kisasi, it wont wont help even a single point of a thing! hebu kwanza jiulize! ''mimi Vannele, nitalipiza mangapi kwa mume wangu''?
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
mara leo kalewa, mara kesho kanichapa kibao, mara sijui kachelewa kurudi home, mara sijui kafanya nini..! kuna mengi hapa ya kuongelea besti!
just let it go!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.

You should however keep in mind that revenge is always a very dangerous motive, so that you don't get surprised with what ought to follow thereafter, the consequences!
 
Mhh hii kali ya mwaka...unanikumbusha emily na grayson's kwenye revenge series,
 
Vannele kisasi ni kwa walio dhaifu ,wewe Vannele wetu si dhaifu.
What i kno Vannele you can win over those resentment and vengeance.
Kukiri kisasi chako ni hatua moja ya muhimu kuelekea kukishinda kisasi chako.
Zungumza na mwenzio you can make it Vannele,please Vannele doing revenge wont u any good,will have impact on youself!
You can win over vangeance ,najua tu kisasi kizuri zaidi ni kumpenda zaidi yule aliyekukosea:
 
Woman how can you be so daft??? Living your life with a man you seek revenge against? How do you sleep at night?

Ukisharevenge then what? Do you not believe in God????

I doubt your sanity. I really do.
 
Yaani wengine tunatamani sana nyumba yenye amani na maelewano wewe ndio Uko busy kutafuta nyumba yenye karaha na maradhi.
Ok, inawezekana unawezekana umewasiliana na Shetani ili revenge yako isilete maafa.
 
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.

Ooh ma'ama theriz a power in what you say..speak carefully usije kuwa victim mwenyewe!
 
Mh! bibie mbona unaonekana kama una hasira kama za mgambo wa janjawid?! Naogopa mie hata kusema.
 
Mkisha achana nae na vijisasi vyako mwenzio sasa atapata bonge la Mke na wewe utaanza kudhurura mtaani bila kupata wa kukuoa kwani utakuwa na sifa ya kuachwa tayari.
 
Ni mwanamke mwenzangu but your post imeniumiza, REVENGE??? what for mai dia, please forgive him, he loves you thats why kakuoa.! What if ukae nae na umweleze yale yote uliyoyasikia na aliyokua anayasema kabla hamjaoana na umuulize mbona kakuoa sasa, am sure atajutia na kukuomba msamaha japo hawa wenzetu kuombaga msamaha kwao ni kazi ngumu
 
Dah! Aisee embu kapiga xray au fanya ecg ya moyo unaweza kuta mwenzetu unabarafu kwenye moyo!
Unafikiri jamaa kakuoa kwa mitego yako? Halaf umefanya hivyo na kuishi nae hadi leo kwa ajili ya kurevenge!
Mh wazungu walisema
Hell has no fury like a woman scorned!
 
vannele u never know,the secret revenge plan u hav may end up hurting u twice than your expectations,the best way of dealing wit marriage doldrums is not running away but rather solving them.

Karucee likes this.
 
Woman how can you be so daft??? Living your life with a man you seek revenge against? How do you sleep at night?

Ukisharevenge then what? Do you not believe in God????

I doubt your sanity. I really do.
Mokoyo likes this
 
Sema unataka umfanye kitu gan?
..Kwani alivyosema wewe humfai unadhani alikosea, labda tabia zenu hazikuendana ndo maana aliona hamfai kuishi pamoja, kuna ubaya gani? Post yako inathibitisha kuwa hakukisea kusema humfai kabisa, uliamua ru kujivalisha utu mwingine.

Hata mimi nadiriki kusema, you don't deserve him, he made a big mistake in marrying you.
 
Back
Top Bottom