Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
Najua kuwa ninachokikusudia sio kizuri. Ila kila nikikumbuka mabaya aliyonifanyia huwa nabaki kujifungia na kulia sana amenitendea mengi mabaya.Hujui tu kuwa hata hii ndoa nilijisacrifice namna gani...
haya kama ulijisacrifice ili uje umkomeshe Go ahead and all the best hope hutalia tena na utachekelea hadi jino la mwisho maisha yako yote.