Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

We wanawake unawajua vizur ww, usikute demu wa mshikaji anatamani maliza davido, ama mtoto wa bakhresa

Kama unasaka pesa saka kwa nguv zote kwa ajili ya familia yako hasa mama mzazi, na wanao, usisake pesa ili umkamate mwanamke utajiongopea, nafs ya wanadamu kuridhika ni mtihani kidogo.
Kuridhika ni ngumu ila kidogo atapunguza shobo (kiherehere) kwa wenye nazo.

Tafuteni pesa kwa bidii walau itapunguza maumivu kwa wapenzi wenu
 
Kuridhika ni ngumu ila kidogo atapunguza shobo (kiherehere) kwa wenye nazo.

Tafuteni pesa kwa bidii walau itapunguza maumivu kwa wapenzi wenu
Mkuu niwe mkweli kabisa mimi sitafuti pesa ili nimtulize mwanamke, hata wanangu wakikua nitawachana wapambane wasitegemee kurithi kwangu, ndio sembuse mwanamke, mpaka hapa nilipofika ama maisha niliyonayo namshukuru mwenyezi mungu, naongeza kutafuta mkwanja kukidhi haja/matamanio ya nafsi yangu tu, nafsi yangu siitimizii 100% ndio nitatimizia nafsi ya mwenzangu!!
 
Dunia imegeuka roho ya utajiri imeshika hatamu na kuwapofua macho vijana......hawaoni mbele ingawa wanakimbia sana kuikimbiza hela.....wapo tayari hata kuhatarisha tunu ya uhai na afya kwa ujumla kwa ajili ya fedha.....lakini mwisho wa siku wanakuja kugundua kuwa fedha ni kipande cha thamani kwa ajili ya kubadilishana na huduma au bidhaa....baada ya hilo fedha haina thamani.....wanakuja kugundua kuwa kuna vitu muhimu walivitoa sadaka kwa ajili ya fedha ambavyo hawawezi kuvipata tena pamoja na mahela waliyojaza mifukoni mwao.......

NB
Nyuma ya tabasamu la mwenye fedha kuna majonzi mengi sana.....ambayo ni vile anavyotaka watu wayaone maisha yake.....
 
Ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada
Mzee acha chuki kwa vijana.
 
Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali.

Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini. View attachment 738210View attachment 738211View attachment 738212View attachment 738213View attachment 738214View attachment 738215View attachment 738216View attachment 738217View attachment 738218View attachment 738219View attachment 738220View attachment 738221View attachment 738223
Asante kwa taarifa serikali imeshamuona itamshughulikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom