Mark Zuckerberg

Mark Zuckerberg

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,351
Reaction score
7,105
One of the richest men on earth, no expensive watch, chain, clothes .. we gotta learn something from this man ..
FB_IMG_16112184555890470.jpg
 
Kuna jamaa alisema hizi habari zinamkera sana akiziona [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja aje tusikie maoni yake
 
Kuna jamaa alisema hizi habari zinamkera sana akiziona [h]
Ngoja aje tusikie maoni yake
Haha sijaandika Nani kamshinda Nani, nimetoa kama lesson watu wajifunze kuwa huitaji kuvaa expensively kuprove status yako in the society
 
Kwamba na Mimi nikivaa hivo ndio nitakuwa tajiri?hakuna uhusiano Kati ya utajiri wa mtu na muonekano wake
 
Kwamba na Mimi nikivaa hivo ndio nitakuwa tajiri?hakuna uhusiano Kati ya utajiri wa mtu na muonekano wake
Mkuu ni somo tu kwa wale wanaoangaika kuprove watu wrong na kusahau kwamba kama unacho unacho tu ..
 
Kumbe unaeza kua na ela alaf ukawa mshamba tu eeeh?
Sana tu,na ndio wenye bahati nazo,ila ukimfuatilia tokea huko nyuma utagundua kuwa alikuwa mashamba flani hivi,muangalie Billgate na Bezos walivyo na huyu alievaa mitumba hapo juu,ila naona kidogo Elon Musk yeye anaonekana mjanja...
 
Back
Top Bottom