Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,045
Watoto wake hata miaka 10 hawajafikishaMark watoto wake hawatumii hata Facebook au instagram
Hio Sasa utakuwa uongo mtakatifu
Watoto wake hata miaka 10 hawajafikishaMark watoto wake hawatumii hata Facebook au instagram
Watoto wake hata miaka 10 hawajafikisha
Hio Sasa utakuwa uongo mtakatifu
😄😄 Eti mitumba ..Sana tu,na ndio wenye bahati nazo,ila ukimfuatilia tokea huko nyuma utagundua kuwa alikuwa mashamba flani hivi,muangalie Billgate na Bezos walivyo na huyu alievaa mitumba hapo juu,ila naona kidogo Elon Musk yeye anaonekana mjanja...
Sio kweli genius wote wako hivyo muangalie Larry Paige wa Google au Elon Musk wapo poa tu.Ma genius ndivyo walivyo mkuu! ..
Sio mshamba mkuu!, kaamua tu kuishi simple life ..
DuhMark watoto wake hawatumii hata Facebook au instagram
unaweza ukawa mjanja ila ujanja wako usikusaidie kuwa na hela.Kumbe unaeza kua na ela alaf ukawa mshamba tu eeeh?
One of the richest men on earth, no expensive watch, chain, clothes .. we gotta learn something from this man .. View attachment 1682536
Huyu jamaa ana utajiri wa masharti
Haha dah mtu unahela baada ya kupiga vitu vikali unaishia kununua vi t -shirt vya rangi ya kijivu kwa bei mbaya,, anyway mkuu! vipi na hiyo raba hapo chini huna update yeyote ? ..Unaambiwa t-shirt zake Ni kati ya $300-$400 Sasa hata kama Ni billionaire, Ni Pesa nyingi sana Kwa ajili ya t-shirt.
Just because haina chata kama za LV, Gucci, nk haimaanishi kuwa Ni nguo za bei ndogo.
Kila mtu anatofautiana style yake. Imagine huyu jamaa na Gucci belt si atachekwa? Sio style yake. Style yake ndo hii casual lakini brand Ni kubwa sana.
"Zuckerberg doesn't just wear any old plain grey Hanes t-shirt, though. His are special ordered from Brunello Cucinelli, and reportedly cost between $300 and $400. A few years ago, H&M rolled out a joke "Zuckerberg collection," but that's not on sale anymore. "
![]()
You can now buy a replica of Mark Zuckerberg's crazy expensive plain grey t-shirt for $46
If you've seen a photo of Mark Zuckerberg from the past few years, you've most likely seen him wearing a plain grey t-shirt.www.businessinsider.com
Hiyo ni hulka ya mtu na kila mtu anamapendeleo yake.Haha sijaandika Nani kamshinda Nani, nimetoa kama lesson watu wajifunze kuwa huitaji kuvaa expensively kuprove status yako in the society