Mark Zuckerberg

Kuna jamaa alisema hizi habari zinamkera sana akiziona
Ngoja aje tusikie maoni yake
😀😀
 
Sana tu,na ndio wenye bahati nazo,ila ukimfuatilia tokea huko nyuma utagundua kuwa alikuwa mashamba flani hivi,muangalie Billgate na Bezos walivyo na huyu alievaa mitumba hapo juu,ila naona kidogo Elon Musk yeye anaonekana mjanja...
Akili za mbongo.
 
Hapa kuna mambo mawili

1. Unaweza kuta hizo pamba ni ghali sana tena sana,sema tunaona ni simple tu!

2. Unaweza kuta alikua kwenye kazi au matembezi yakawaida sana,so hawezi tupia madude hatari! Hivi mtu kama huyu hana wabunifu wa mavazi yake??
Kama unamfatilia sana, utagundua kwamba ndo mavazi yake ya kila siku ..
 
Haha dah mtu unahela baada ya kupiga vitu vikali unaishia kununua vi t -shirt vya rangi ya kijivu kwa bei mbaya,, anyway mkuu! vipi na hiyo raba hapo chini huna update yeyote ? ..
Ulitaka avae kama hawa? Mtamcheka!! Sio style yake. Na mtu mwenye akili unaweka Pesa kwenye technology, real estate nk. Na si kwenye nguo, macheni na magari. Ni uharibifu wa pesa na ndo maana Hawa matajiri wanaendelea kutajirika. Wewe kama kitu cha kwanza ni kujionesha kuwa una pesa, basi maono ya mbali na utaishia kuplease macho ya watu tu.
1611426597944.png

Sijafanya research ya viatu Ila nafahamu anakiliki eneo kubwa Hawaii alilipia dola millioni mia moja. Huyu jamaa hata Facebook ikifa, bado ana investment zake za property.

Tukumbuke Kuna kitu kinaitwa generational wealth. Hawa mabillionea wachache sana wameanza kwenye umasikini. Hata Dangote babu yake alikuwa tajiri sana. Kwahiyo Hawa watu waangalie na uwapite tu sababu si kwamba Wana akili sana kuliko kila mtu. Walikuwa Wana pesa (walizorithi), connection na elimu kuwawezesha kufika walipo. Huyu Zuckerberg alienda Harvard na si kwa scholarship na hata Harvard hakumaliza. Imagine wewe Kijiji chako kimekuchangia uende shule ungethubutu kutoka pale bila digrii??

Anyway, link hapo chini kuhusu skendo ya nyumba kisiwa cha Hawaii.

One of the richest men on earth, no expensive watch, chain, clothes .. we gotta learn something from this man .. View attachment 1682536
If I can add something, Ni kwamba he is a white man and he has nothing to prove.

Hata Hawa wazungu wanaotembea na ndala mjini hapa bongo si tunawaona kama watakuwa na pesa si ndio? Compare to wewe huwezi kukatiza mjini umevaa ndala utaonekana fala. Kwenye nchi fulani people assume kama wewe Ni black huna kitu. Sasa unakuta watu wanaovercompensate Sasa unakuta wanavaa ma label na ma brand waonekane wako class fulani. Tatizo Ni hizi brand hawapendi kuona ma black wanavaa chata zao 😂 ..kama Kuna Burberry nakumbuka walichukia watu wa ghetto rich walikuwa wanavaa nguo zao.

Kuvaa simple ndo mwendo wenyewe , nikiona mwanamme anaevaa chata na brand kuuubwa nampita mbali. He is insecure.
 
Sawa mkuu umemaliza yote ..
 
Back
Top Bottom