GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
19,483
Reaction score
26,106
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.

Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!

Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.

Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?

Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?

Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..

Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..
 
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikia kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.

Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!

Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.

Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?

Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?
4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.

Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.
 
CCM inaanzisha fujo,kutokuelewana na maovu mengine mengi ili baada ya watu kuumia ndiyo walete usanii wa maridhiano.Huo ni upuuzi kama ujingaujinga mwingine tu.Unawaumiza sasa ili baadaye uwape peremende wanyamaze?Anayekubaliana na huo ujinga hana tofauti na muanzisha ujinga.
 
4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.

Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.
Wanakataa kufanya reforms,wanawaumiza watu vibaya sana kwa kuwafunga hata kuwaua wakilenga kwamba baadaye watawaita waridhiane.Anzisha tatizo halafu aminisha watu kwamba u-muungwana na kutaka suluhu.Huo ni uchizi kamilifu.
 
IMG-20250828-WA0066.jpg
 
4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.

Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.
Kuna watu hawana mshipa wa aibu; huyu mama ni mmoja wa hao, tena mbaya zaidi ya wote.

Ni kama huwa anajisahaulisha mambo aliyo kwisha ahidi, na wakati huo huo akifikiri watu wote hawana kumbukumbu ya ulaghai mkubwa alio nao.
 
Hawa maskini waTanzania wanasombwa kwenye malori hata hawajui kwa nini wanasombwa kama mifugo.

Hata sielewi hali yetu iligeuka na kuwa mbaya kiasi hiki lini; kwa wananchi wetu kutojuwa/kutotambua kuwa wanatumiwa tu na watu wengine kufikia malengo yao.

Juhudi zote zile zilizo fanyika enzi za Mwalimu Nyerere kuwaelimisha wananchi wa kawaida maswala ya haki zao sijui zilifutika kwa haraka vile kivipi?
Wakati huu kukiwepo na mawasiliano mazuri ya kusambaza taarifa, unge dhani ingekuwa rahisi kuwaelimisha hawa watu; lakini maajabu hali ndiyo inazidi kuwa mbaya zaidi!

Inasikitisha sana.
 
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.

Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!

Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.

Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?

Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?

Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..

Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..
In plain language, Samia The Killer anasema maridhiano hayawezi kufanyika kabla ya igizo la uchaguzi, kwa sababu yataharibu mpango wake wa kubaki madarakani. Acha critics wauawe tu kwa sasa, atatafuta maridhiano baada ya igizo la uchaguzi!
 
Dhati kabisa na CCM lazima iongoze mchakato wa Katiba Mpya
 
In plain language, Samia The Killer anasema maridhiano hayawezi kufanyika kabla ya igizo la uchaguzi, kwa sababu yataharibu mpango wake wa kubaki madarakani. Acha critics wauawe tu kwa sasa, atatafuta maridhiano baada ya igizo la uchaguzi!
Sema sisi ndiyo hatuna akili timamu kabisa, tunaongozwaje na mtu wa kutoka taifa jingine?
 
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.

Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!

Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.

Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?

Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?

Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..

Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..
Maridhiano ni kupoteza muda, kinachotakiwa ni marekebisho ya masula ya uchaguzi ili ushindani uwe fair
 
Back
Top Bottom