PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
16,997
Reaction score
23,638
Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
 
Hana akili huyu mama, Au yeye ndo anatoa lesseni ya kuoperate hapa TZ.

Aache kukomaaa na TTCL , Aanze lukomaa na Voda, Tigo, kwamba wao ndo wanapenda kupata hasara ya kuto kuuza data for 5 days?
 
ovyo sana huyu dada, siku hizi kazi yake kuwapa mikwala tu ccm mara polisi, ni mtu aliechanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom