PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 kuwasilisha ripoti Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,391
Reaction score
18,840
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.

1776762077139.png

Soma: Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026

Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.
 
Sawa
 
Ripoti hiyo lazima aliyelipwa bilioni tano atajwe,watu toka nje waliofanya maandano watajwe.
 
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 23, 2026.

Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume.

Jaji Chande amesema kuwa ripoti hiyo imekamilika
na itawasilishwa kama ilivyopangwa, huku akisisitiza kuwa nyaraka hiyo itakuwa na uzito mkubwa katika kutoa mwelekeo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa kufuatia matukio ya Oktoba 29.

Kwa mujibu wa Jaji Chande, kazi ya Tume hiyo imehusisha ukusanyaji wa ushahidi, maoni ya wadau mbalimbali pamoja na uchambuzi wa kina wa taarifa zilizokusanywa, ili kuhakikisha kuwa ripoti inayowasilishwa inakuwa ya kuaminika na yenye manufaa kwa Taifa.
 
Ripoti au kipeperushi cha udaku?.

Unakutana na vibaka kama Sabaya na Yericko Nyerere unasema unatoka na ripoti?

Yaani mtu kama yule ajuza Tax aliyekua anafahamu mission nzima ya kuua watu iliendaje nae unamuweka kwenye panel ya kuchunguza yaani ajichunguze?

Who is fooling who?
 
WhatsApp Image 2026-04-21 at 14.17.45.jpeg
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.

Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.
 
Chande inatakiwa uje utetee report yako ikitoka.

Maswali 2 muhimu ni
1. Namna gani tume yenu hailengi kumkinga Samia na uwajibikaji wa Mauaji ya Halaiki

2. Namna gani Tume yenu ni ya upande mmoja. Ya ki CCM.

Kila mjumbe aliwahi kunufaika na uteuzi wa mwenyekiti wa CCM
 
Hawajawahi kujibu critical questions tangu dunia ilipo kamilika uumbaji
 
Alisema several days ago kuwa ripoti ya Chande itatoka tarehe 23.

Je.ni kweli kesho itatoka?
20260421_170537.jpg
 
Serikali imetulinda dhidi ya vurugu za wajinga wachache..Watu WA demokrasia ujinga wenu unafanana ..Yale yale ya USA kupeleka silaha kwa ajili ya machafuko huko Iran ,halafu anakuja kujifanya watu wamekufa ..Pelekeni ujinga eenu mbele huko ,maisha yanaendelea.
 
Kuna watu hasa walio organize yake maandamano haramu ya Oktoba 29 wanailaumu tume kuchelewesha majibu.

Msilolijua ni kwamba mnailaumu tume kuchelewesha haki zenu za kupelekwa jela.

Niko pale, nasubiri siku mtakayolia na kusaga meno.
 
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.

Soma: Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026

Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.
Faki the mazafakas! Tayari tunajua kilichojiri—all we want is accountability!
 
Kuna watu hasa walio organize yake maandamano haramu ya October 29 wanailaumu tume kuchelewesha majibu.
Msilolijua ni kwamba mnailaumu tume kuchelewesha haki zenu za kupelekwa jela.
Niko pale, nasubiri siku mtakayolia na kusaga meno.
Nimecheka sana, tume ya muuaji aliyetangazwa kwa kura 31m za uongo inaenda kufunga watu, halafu yeye anabaki kama rais😂😂
 
Serikali imetulinda dhidi ya vurugu za wajinga wachache..Watu WA demokrasia ujinga wenu unafanana ..Yale yale ya USA kupeleka silaha kwa ajili ya machafuko huko Iran ,halafu anakuja kujifanya watu wamekufa ..Pelekeni ujinga eenu mbele huko ,maisha yanaendelea.
Jitambue kwanza ndio uandike yanayoeleweka! Umeandika ujinga.
 
Kuna watu hiyo kesho wanaenda kujiharibia CV zao hivi hivi.
 
Back
Top Bottom