Maria Sarungi only God knows where she came from

Hivi binti wa Dr Sengondo Mvungi (RIP) amerudi kwenye Bunge la katiba? Ni mjumbe.
 
wewe mtu....mimi nimetukana wapi? jifunze kujiheshimu utaheshimiwa
Ukisema ukweli daima nitakuunga mkono. hata kama ukweli huo unaniuma/unanichoma. lakini ukileta chuki zako kwangu haitajalisha hayo mengine.
 
we fal.a inaonesha jinsi ulivyo mweupe. soma thread iliyoletwa. imeanza kwa kumpongeza zitto. sasa sijui unabisha nini, huu ni uthibitisho tosha juu ya chuki zako kwa Zitto, bila hata kuzingatia upuuzi mwengine ulioupost.
eti niliambiwa na mkuu, hizo ni porojo tu kama zingine au kama zile za mara Riz kashikwa na madawa Uchina.
eti rekodi za jamii forum, pure kinyesi, juzi hapa yule kinyesi aitwaye mungi alikuja na singo kuwa mke wa mbunge wa moshi vijijini agrey amemuua house girl wake kisa ni Muislam na kwa vile hataki kwenda kanisani, na hiyo ndo hiyo jf unayorefaa kuonesha ulivya mpumbavu.
kuhusu Zitto kwenda ujerumani sioni cha ajabu, Zitto amesoma Masters na sasa hivi akiwa anasoma PhD yake akiwa na uhusiano wa karibu sana na safari zake za Germany achilia mbali kusoma huko. kwa hiyo hizo zote naona porojo;
kuhusu kitila; hiyo sawa, kila mmoja kwa sasa anajua fika kitila ni ccm, kwa rangi aliyoionesha

Abunuasi, hapa tunaongelea uthubutu wa dada Maria period, hayo ya kipenzi chako Zitto waweza mfungulia uzi wake mkuu!,
By theway, sidhani kma Zitto anafitiniwa, kwa taarifa yako mimi nilikuwa shabiki namba moja wa Zitto Kabwe, hasa enzi hizo za Buzwagi and the likes, povu lilinitoka sana nikimtetea, sikumoja nikakutana na mtu mkubwa fulani akanambia we yule kijana anavuta/anachukua kitu tena ndefu yaani si chini ya 0.5 bil. Nikapigwa na butwaa, na sikutaka kumuamini kihivyo ila nilishindwa ona logic ya mtu kama yeye kumnenea uongo Zitto, Yaliyo endelea mkuu wote tumeshuhudia, pasi ndefu za kwenda Ujerumani mwe! JF ina kumbukumbu zote, Inshort, nimekoma kabisa mahaba na mwansiasa as a person, Ya Daktari Mkumbo nayo ndo kabisaaa yamegongomelea msumari wa mwisho!
samahani wakuu kwenda nje ya mada; Dada Maria hongera sana
 
Haya mie pia umenitukana sijui ni wapi nimekosea.Na inaonyesha ni jinsi gani usivyokuwa na busara hata kidogo na hata kama tulikosea sehemu ulitakiwa uwasilushe katika hali nzuri ila hivyo unavyofanya si uungwana
Apology Honey Faith.
 
we fal.a inaonesha jinsi ulivyo mweupe. soma thread iliyoletwa. imeanza kwa kumpongeza zitto. sasa sijui unabisha nini, huu ni uthibitisho tosha juu ya chuki zako kwa Zitto, bila hata kuzingatia upuuzi mwengine ulioupost.
eti niliambiwa na mkuu, hizo ni porojo tu kama zingine au kama zile za mara Riz kashikwa na madawa Uchina.
eti rekodi za jamii forum, pure kinyesi, juzi hapa yule kinyesi aitwaye mungi alikuja na singo kuwa mke wa mbunge wa moshi vijijini agrey amemuua house girl wake kisa ni Muislam na kwa vile hataki kwenda kanisani, na hiyo ndo hiyo jf unayorefaa kuonesha ulivya mpumbavu.
kuhusu Zitto kwenda ujerumani sioni cha ajabu, Zitto amesoma Masters na sasa hivi akiwa anasoma PhD yake akiwa na uhusiano wa karibu sana na safari zake za Germany achilia mbali kusoma huko. kwa hiyo hizo zote naona porojo;
kuhusu kitila; hiyo sawa, kila mmoja kwa sasa anajua fika kitila ni ccm, kwa rangi aliyoionesha

We Mchaga na munamchukia na Zito kwasababu alitaka kugombea uwenyekiti,mukamlazimisha kujitoa,tangia hapo Muna chuki nae,kumbukeni hamuwezi kuchukuwa DOLA kwa kutegemea kanda moja.
 
Aise kumbe wewe bonge la abunuasi, sasa mitusi yote hiyo ya nini? kwa heshima na taadhima hiyo mitusi yote ukurudie mwenye, we endelea kulamba miguu ya Zitto, ipo siku hakika ukweli utajitenga, na pamoja na mahaba uliyo nayo uachie ubongo wako ufikirie nje ya box, kwanini yeye tu? na kwa hakika usiusemee moyo wa mwenzio, kwani moyo wa binadamu kichaka. wait, time will tell.

Dada mari hongera mwaya
 
Kale ban.ge ili upate stata na mzuka uandike vizuri. unachokanusha ndio unachoandika sikuelewi...

Teh teh teh hapo ni Dj MBOOwe namaanisha kujifanya mwanaharakati kumbe alipewa mlungula na hajakanusha!!
 
Na uzuri wake pia unachangia.Maria kama upo humu ni-pm bwana mdogo mie na fukara mie japo niongee tu nawe nitafarijika toka moyoni.NAKUPENDA KWAKWELI.
 
Maria Sarungi mtoto wa profesa sarungi ambae ni kada wa ccm,aliacha kushabikia siasa za ukanjanja toka chama cha babake na kuangalia utaifa tangu bunge la katiba linaanza,hakupenda kupindisha uwongo kuwa kweli,sababu tangu namuona kwenye altareni kwenye madhabahu ya kanisa la saint Peter ndicho alichonacho hadi leo,uoga wa Mungu,na ndo mana bado yupo upande wa wananchi,akikataa dhuluma inayotengenezwa na maintarehamwe kupitia katiba
 
Aise kumbe wewe bonge la abunuasi, sasa mitusi yote hiyo ya nini? kwa heshima na taadhima hiyo mitusi yote ukurudie mwenye, we endelea kulamba miguu ya Zitto, ipo siku hakika ukweli utajitenga, na pamoja na mahaba uliyo nayo uachie ubongo wako ufikirie nje ya box, kwanini yeye tu? na kwa hakika usiusemee moyo wa mwenzio, kwani moyo wa binadamu kichaka. wait, time will tell.

Dada mari hongera mwaya
umenichekesha sana baada ya kuniambia kwa heshima na taadhima matusi yote yakurudie. da! kweli wewe ni bonge la mbunifu.
back to topic; siku nikijua kuwa tuhuma hizi za zitto ni kweli hakuna matusi yatakayobaki kumtukana. nitam-underate sana kama nilivyofanya kwa kitila sasa.
kwa Zitto ninaamini fika hizi ni njama za mbowe kuwatumia nyie vibaraka wake kumchafua kama mlivyomchafua chacha wangwe kipindi cha uhai wake. unafikiri tumesahau? halafu mbona nyinyi mnaisemea mioyo ya mbowe na slaa kila siku humu pamoja na kufuja ruzuku za chama?
haya sasa uandike hivi; ''kwa heshima na taadhima hiyo busara uliyonayo iwe mara mbili zaidi'' hahaaaa!
 
We Mchaga na munamchukia na Zito kwasababu alitaka kugombea uwenyekiti,mukamlazimisha kujitoa,tangia hapo Muna chuki nae,kumbukeni hamuwezi kuchukuwa DOLA kwa kutegemea kanda moja.
hii ni kali aisee. mpaka umenipa na kabila kabisa kuonesha msisitizo. Binafsi sina chuki na kabila lolote wala mtu yeyote kama sio mfitini. Sio mchaga lakini nina marafiki wengi wachaga. ni watu ambao nimeweza kwendana nao kwa mambo mengi. lakini walionishinda kwendana nao ni wasukuma na wahaya kwa sababu ya kujiona japokuwa nimeweza ku-match na baadhi ya wahaya. (hii ni nje ya topic lakini)
 
Uko wapi Maria...tunatamani kusikia na wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom