Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,075
Thread yako ni nzuri ila hapo mwanzo umemtaja shetani mmoja ambaye ni mnafiki...
Thread yako ni nzuri ila hapo mwanzo umemtaja shetani mmoja ambaye ni mnafiki...
Thread yako ni nzuri ila hapo mwanzo umemtaja shetani mmoja ambaye ni mnafiki...
Maria ataenda bungeni ...kutokuonekana leo sio kwamba haendi....zitto ni mnafiki tu haeleweki na yeye ataenda bungeniHongera zake
we kweli punguwani. Zitto anasitahiki pongezi kwa uzalendo wake wa kweli. In Zitto we trust.Mkuu, hebu andika kitu kwa ufasaha
Maria Kafanyaje, karudi Bungeni na kuyapa ma Intarahamwe za uso ukumbini ama ????
Zitto anafuata nini hapa ilhali Heading ni ya Maria.
Hebu eleza kwa kirefu
Mkuu, hebu andika kitu kwa ufasaha
Maria Kafanyaje, karudi Bungeni na kuyapa ma Intarahamwe za uso ukumbini ama ????
Zitto anafuata nini hapa ilhali Heading ni ya Maria.
Hebu eleza kwa kirefu
Andika ili kila msomaji aelewe unaongelea nini? kuna wengi hawamjui Maria, anafanya nini, kafanya nini, kwanini, na wapi. Toa maelezo ya kina ili tujue
hueleweki ulichoandika.
usipate kiwewe wala hamshindi. badala yake mmewapa ccm fulsa kuonyesha jinsi walivyo chama makini.
we kweli punguwani. Zitto anasitahiki pongezi kwa uzalendo wake wa kweli. In Zitto we trust.
waliotukana ni hao niliowajibu. nilichofanya ni kuwapa black and white tu the way they are.Hebu jiheshimu kidogo na matusi si mazuri
She is really patriotic, brilliant, long sighted, broad minded and above all she is beautiful!
Thread yako ni nzuri ila hapo mwanzo umemtaja shetani mmoja ambaye ni mnafiki...