Na wewe si ni ama kaka/dada/mama/baba yake na hao?? ama wewe siyo jamii yao? (same species?) Think twice mkuu !
Well, kama dada Maria kasimamia anacho kiamini, nampongeza kwa sana tu, make kuthubutu kwenda kinyume na mainterahamwe si mchezo!
Kutorudi kwa sarungi kunasaidia nini kupata katiba mpya?
Nianze kumpa pongezi mh.Zitto Kabwe kuungana na wananchi wengine kupinga kitendo cha Ccm kutumia mabavu kuandika katiba wanayoitaka wao.
Maria Sarungi nimekosa neno la kumwambia na sijui mwanamke wa umri wake ametolea wapi huo moyo wa kuacha kuchukua zaidi ya mil. 20 za vikao na kuamua kusimamia ukweli. Maria Sarungi ni mzalendo ni mfano wa kuigwa na tukishinda hili historia itamuandika vizuri.
Sijui ametokea wapi huyu binti. My words are not enough to express how great this woman is.
Maria Sarungi ni mjumbe wa bunge la katiba kutoka kundi la 201. Hajarudi kwenye bunge la intarahamwe naona maneno ya jaji warioba na wale ma prof aliya elewa vizuri.
waliotukana ni hao niliowajibu. nilichofanya ni kuwapa black and white tu the way they are.
mkuu mama yupi?
Mnasemaje hajarudi ikiwa kesho ataonekana mje tena hapa mseme karudi
Ama kweli nyie ni mbwa.
wewe mtu....mimi nimetukana wapi? jifunze kujiheshimu utaheshimiwawaliotukana ni hao niliowajibu. nilichofanya ni kuwapa black and white tu the way they are.
Hii picha ni ya lini ?
Huko Dodoma kuna wengine wameenda kwa kuwa wanasomesha teh teh...