Nianze kumpa pongezi mh.Zitto Kabwe kuungana na wananchi wengine kupinga kitendo cha Ccm kutumia mabavu kuandika katiba wanayoitaka wao.
Maria Sarungi nimekosa neno la kumwambia na sijui mwanamke wa umri wake ametolea wapi huo moyo wa kuacha kuchukua zaidi ya mil. 20 za vikao na kuamua kusimamia ukweli. Maria Sarungi ni mzalendo ni mfano wa kuigwa na tukishinda hili historia itamuandika vizuri.
Sijui ametokea wapi huyu binti. My words are not enough to express how great this woman is.
Maria Sarungi ni mjumbe wa bunge la katiba kutoka kundi la 201. Hajarudi kwenye bunge la intarahamwe naona maneno ya jaji warioba na wale ma prof aliya elewa vizuri.