Zungu Pule
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 2,218
- 1,218
Ukweli huu ndio unatufanya tuonekane haters!!!!!
Kama Lusinde
Kwamba huyu dada anafaa kugombea na hivyo kuwa Rais wa Tanzania kwa kuwa "umeona msimamo wake thabiti kwenye tweets zake"? Huu ni utani. Lakini sishangai kwa kuwa naamini Maria anauwezo maradufu kuliko Rais aliyepo sasa. That said, Maria is not a tested leader. Ku-suggest kwamba Maria anaweza kuwa Rais kwa kupima harakati zake za "tweets" ni dharau kwa Watanzania na wote wanaosoma makala kwenye jukwaa hili.
Sisemi kwamba harakati anazofanya Maria na wenzake kupitia "tweets" hazina impact, but there is attribution problem. Kukifanywa mabadiliko yoyote (ya viongozi kwa mfano), watuma "tweets" huhusisha mabadiliko hayo kuwa ni matokeo ya "tweets" walizotuma. Kwamba aliyefanya mabadiliko au aliyejiuzulu nafasi yake amefanya hivyo kutokana na shinikizo la "tweets" zilizotumwa. While this may be true, one needs to rigorously demonstrate that the observed changes could not have happened in absence of "tweets". Kwa maneno mengine, kabla mtu hajahusisha matokeo yeyote na "tweets" anapaswa kutuambia ni nini kingetokea bila kuwepo kwa "tweets" [counterfactual]. Bila kufanya hivyo, kusema "tweets" zinaongeza mbinyo kwa serikali inaweza kuwa ni maneno matupu yanayolenga kuendeleza maslahi binafsi (self-interests) i.e. mtu anaonekana kuwa mwanaharakati mahiri kwa kuwa anatuma "tweets" nyingi za kuibana serikali.
Maria=20% zzkWhat's wrong with that?
Kama Lusinde
Maria=40% zzk
zzk=100% mchumia tumbo
POAMfuasi wa Mzee Ngoyai upo? Naona siku hizi hukosi jamvini dakika ya 88 likipigwa goli halirudi. Komaa Mkuu safari hii mkirambwa mkono ndo basi tena.
Overhauling of the current system may lead to the demise of many individuals who prospered out of this system,opposition political parties leaders included. If anything the new constitution issue will have opened your eyes that some opposition political parties leaders contributed to the existence of this so called 'katiba pendekezwa' though they dupe us that they are with us while in fact they are in cahoots with the ruling party...the hand that feeding them.Ha ha haaa political economy is the sweetest ever but you should be keen on context fella!!!
Economy has been the base always, and so it will remain but the apex is just a crossroad to either success or demise!!!!
Where are we???!!!
jamani mtu wa kusaka warembo anazungumziwa urais je mnaidharau Tanzania au mnadharau nafasi ya urais. mtu hupimwa kwa kazi yake na kwa muda mrefu sio kwenye facebook.hii mitandao ni ya wazi unafki ni mwingi. Hiii tz itajaongozwa na lundenga ama wema sepetu kama hatutajirekebisha
huyu mdada namfahamu sana hana dharau wala kiburi nachati naye sana twita yupo tofauti na wanawake wengine ana msimamo sana kwenye hii ishu ya escrow amenihahidi wahusika wote wataghulikiwa hakuna funika kombe mwanaharamu apite document wanazo za kutosha.
Overhauling of the current system may lead to the demise of many individuals who prospered out of this system,opposition political parties leaders included. If anything the new constitution issue will have opened your eyes that some opposition political parties leaders contributed to the existence of this so called 'katiba pendekezwa' though they dupe us that they are with us while in fact they are in cahoots with the ruling party...the hand that feeding them.
Hivi senator akija bongo anaweza kuwa kiongozi wa level gani???!!!
huyu mdada namfahamu sana hana dharau wala kiburi nachati naye sana twita yupo tofauti na wanawake wengine ana msimamo sana kwenye hii ishu ya escrow amenihahidi wahusika wote wataghulikiwa hakuna funika kombe mwanaharamu apite document wanazo za kutosha.
Hawa ghasia wanajuana na JK lakini kichwani chake kimejaa matope huyu Maria Sarungi ningekuwa na uwezo ningempa nafasi ya Uwaziri wa fedhaNashangaa sana Hawa Ghasia ni waziri halafu Maria ni mTZ wa kawaida.
mbona una wivu sanamwalike mkanywe chai au kulamba koni:Nyerere JK
wanachagua sura mbaya sijakuelewaSafari hii hakuna kuchagua tena sura inayopendeza? Napita tu...
Rais Barack Obama hakuwahi kuwa na rekodi ya utendaji serikalini,alikuwa ni junior senator wa Illinois, Marekani lakini leo hii anaongoza taifa kubwa kabisa Ulimwenguni la Marekani.