Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
Kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi hii, hairuhusu mbombea asiye na chama. LAZIMA awe mwananchama wa chama cha siasa.
umeishiwa hoja
Kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi hii, hairuhusu mbombea asiye na chama. LAZIMA awe mwananchama wa chama cha siasa.
Hivi senator akija bongo anaweza kuwa kiongozi wa level gani???!!!Rais Barack Obama hakuwahi kuwa na rekodi ya utendaji serikalini,alikuwa ni junior senator wa Illinois, Marekani lakini leo hii anaongoza taifa kubwa kabisa Ulimwenguni la Marekani.
Inasemekana mama yake anatoka ROMANIA,, Mumewake ni mu- ETHIOPIA kweli tuongozwe na mtu wa aina hii? u can't be serious?
Hana rekodi ya utendaji serikalini. . . . .
Huku tunausemi, "mkate huandaliwa mazingira ya unakopikiwa" lakini pia haimaanishi ukichanganya mawe na mchanga katika mazingira ya jikoni utapata mkate!!!si sababu ya msingi. Jakaya na wenzake mbona wote wana rekodi za kufanya kazi serikalini lakini ndiyo hao wapiga-dili wakubwa. Mikataba ya hovyo imetamalaki rasilimali za nchi zinaporwa na wageni kwa msaada wa hao wenye rekodi za utendaji serikalini hayo huyaoni sivyo! kwa Tanzania ya sasa kigezo cha utendaji serikalini hakina mashiko.
I think we need outsiders turn this country around, No more insiders. Don't you think?
Huku tunausemi, "mkate huandaliwa mazingira ya unakopikiwa" lakini pia haimaanishi ukichanganya mawe na mchanga katika mazingira ya jikoni utapata mkate!!!
Hivi senator akija bongo anaweza kuwa kiongozi wa level gani???!!!
Senator wa Marekani hana tofauti na Mbunge wa Tanzania kwakuwa majukumu yao mengi yanafanana.
ushafilisika kifikra sasa unaanza mafumbo.
"Insiders" are the real deal, just a matter of constitutional premises!!!!
Silver platter babies!!!
Rig your skull. . . . . . .
"Insiders" you meant from the party wing??I am saying this because insiders are already corrupted by the corrupt system. You can't change the system if you're a part of it because you're obviously benefitting from it.
Nshakuambia hoja zimekufilisikia. Sasa nenda Lumumba ukachukuwe buku 7 kwa Nape.
Acha wivu wakike!Hana lolote huyo mwanamke. Yaani hii nchi bana shida kweli kweli. Mtu akitweet huku akinukuu vitabu vya zamani basi mshaconclude kuwa anafaa kuwa kiongozi. Me namfahamu vizuri sana huyu binti, hana lolote zaidi ya sifa na kutafuta wanaume wa kisiasa. Nikikutajia wanaume waliopita naye kwenye bunge la katiba unaweza kuzimia.....
Ingawa hatujaruhusu kuwa na independent candidates kwenye nchi hii, mtu wa aina hiyo ndiye nilikuwa ninataka ashike uskani wa kuingoza nchi hii.
Party politics zimechangia sana kuharibu nchi yetu na tunatakiwa kuachana nazo kuanzia sasa.