OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Inamisha kichwa ubongo uje mbele .Hivi ukimleta Obama hapa ataweza kuongoza Tanzania.Huyo Maria alikuwa mtoto wa waziri hapo ujue kilio chake ni kusahaulika na CCM huyo ni mwana CCM kama NAPE,RIZIWANI,KINA .KAWAWA,JANUARY,JOHN MONGELA,MGIMWA,MAKONGORO na DADA YAKE,hao hawajatembea kilometer nyingi kutafuta shule ilipo, hawajabeba mifyagio na majembe,mbolea na makopo ya kumwagilia bustani .Nikimuona mtu anahusika na urembo na maigizo siwezi mshabikia.Kama ni mwanamapinduzi ameshindwaji kumsaidia Lundenga kuiboresha Miss Tanzania? wengineo.Akipewa ukuu wa wilaya anatulia
Mmmhh hata kutapika kuna kiasi hii unaweza tapika maini kabisa!!!!