Maria Sarungi: Independent Candidate?

Maria Sarungi: Independent Candidate?

Maria Sarungi ni binti wa Mzee Profesa Philemon Sarungi aliyewahi kuwa mkurugenzi wa kitivo cha afya cha Muhimbili na baadaye kushika nyadhifa kadhaa serikalini kabla ya kusitaafu.

Mwanamama huyu ameolewa na mwanamme mwenye asili ya Ethiopia akiwa na maskani yake Dar es Salaama ambako ana biashara zake binafsi kadhaa, mojawapo ikiwa ya kutafuta warembo wa kushiriki mshindano ya Miss World ya Donald Trump. Mmoja wa warembo waliopitia katika mikono ya Maria Sarungi ni mrembo Flaviana Matata ambaye sasa hivi anang'aa sana kwenye anga za urembo huko New York Marekani.

Ingawa sijui undani wake binafsi, najua kuwa Maria Sarungi siyo mwanasiasa, bali aliteuliwa na Rais kuingia kwenye bunge la katiba ambalo limemaliza muda wake. Mchango wake kwenye bunge hilo la katiba uko wazi.

Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa, nimekuwa nafuatlia tweets zake, na kugundua kuwa ni mwanamama mwenye msimamo thabiti ambaye hajawa corrupted na party politics za vyama. Anachukua mazuri kutoka vyama vyote na kupinga mabovu ya vyama vyote.

Ingawa hatujaruhusu kuwa na independent candidates kwenye nchi hii, mtu wa aina hiyo ndiye nilikuwa ninataka ashike uskani wa kuingoza nchi hii.

Party politics zimechangia sana kuharibu nchi yetu na tunatakiwa kuachana nazo kuanzia sasa.

Wewe unaweza kupedekeza hata kichaa kuwa rais
 
Of course wapo wengi,tatizo unajaribu kutaka kunibana ili ushinde hoja...I won't be caught up in such kinds of 'gotcha' games of yours

Wrong again, ts not bout you and me, ts about the Nationaal interest, a public servant qualities!!
Didnt know a game was on. . . . . . Kiddoes gotcha mindset!!!
 
Back to your senses now!!!
You are good to go . . . . . . . . .

She can perform better on other areas where there is no government interference mostly in the private sector (organizations).She can do well in the government organizations & institutions/agencies as long as there is minimal interference by the government or else she might end up in the political ruins just like Balozi Kagasheki,Tibaijuka and many more ended.....
 
A bit more wiser! !!!
And thus you are proposing that she is not fit as of now???!!
 
Huyu ni Binti yetu wa Utegi. Maria Sarungi kati ya mabinti niliyoweza kuwaona wakijenga hoja ya ukweli ni Maria Sarungi. Maria Sarungi ana msimamo, Mkweli, mpenda watu na hapendi RUSHWA. Naona kwa sehemu kubwa amechukua damu ya mama yake ambaye ni mwenyeji wa Hungary. Hungary ilikuwa nchi ya kijamaa na kule rushwa ilikuwa kama dhambi kubwa na kwa sababu hiyo amechukua damu za wajomba zake kwa msimamo, mkweli na mchukia Rushwa. Nashangaa kwa nini Mhe. Rais hakumteua kuwa Mbunge wa kuteuliwa na baadaye kumfanya Waziri. CHAPA KAZI MARIA KWA KUWATETEA WATANZANIA. MUNGU ATAKULIPA.
 
Ana bifu kali na serikali ya Rais wetu Jakaya. Siku zote Maria anadhani babayake, Prof Saronge, hajatendewa HAKI na serikali hii.
 
A bit more wiser! !!!
And thus you are proposing that she is not fit as of now???!!

She is not ready yet for the biggest office in our country but with the time on her side,She will be right there.She has the brains to run the country,Only experience, maturity are against her because she is still young.
 
Mwanamama huyu ameolewa na mwanamme mwenye asili ya Ethiopia

hafai yaani ana dharau kwa wanaume wa kitanzania.Yaani mamilioni yote ya wanaume watanzania hakuwaona hadi aolewe na mu-ethiopia? Kwa hiyo Ikulu iende ikakaliwe na kidume cha Ethiopia?
Wallahi wanaume wote wa kitanzania tutafanya kampeni ya kufa na kupona kuhakikisha hapati.
Mtu kama kaoa au kaolewa na mtu wa nje ikulu asahau.

Ikulu ni kwa ajili ya watanzania wazawa wenye baba zao na bibi zao Tanzania tu.NO MAMLUKI.
 
She is not ready yet for the biggest office in our country but with the time on her side,She will be right there.She has the brains to run the country,Only experience, maturity are against her because she is still young.

She might make a good leader, BUT she is not of the capacity for the big office!!!
 
She might make a good leader, BUT she is not of the capacity for the big office!!!

But I believe she got the potential to be the President of this country one day. She only needs to work on her weak points as from now if she got that big ambition of being a President.
 
NI VYEMA KUMJUA KABILA LAKE,KANDA YAKE ATOKAYO NA BACKGROUND YAKE. Hatutaki viongozi wadini,wakanda na wabaguzi wa kikabila.
 
Inasemekana mama yake anatoka ROMANIA,, Mumewake ni mu- ETHIOPIA kweli tuongozwe na mtu wa aina hii? u can't be serious?
 
Anaonekana ni binti mwenye kujitambua sana huwezi kumlinganisha na mariam kisangu wa viti maalum ccm au asumta mshama. Twende taratibu atafikia tu muda ukifika kizuri hakijifichi.
 
Hana rekodi ya utendaji serikalini. . . . .

Rais Barack Obama hakuwahi kuwa na rekodi ya utendaji serikalini,alikuwa ni junior senator wa Illinois, Marekani lakini leo hii anaongoza taifa kubwa kabisa Ulimwenguni la Marekani.
 
Hana rekodi ya utendaji serikalini. . . . .

si sababu ya msingi. Jakaya na wenzake mbona wote wana rekodi za kufanya kazi serikalini lakini ndiyo hao wapiga-dili wakubwa. Mikataba ya hovyo imetamalaki rasilimali za nchi zinaporwa na wageni kwa msaada wa hao wenye rekodi za utendaji serikalini hayo huyaoni sivyo! kwa Tanzania ya sasa kigezo cha utendaji serikalini hakina mashiko.
 
Kuwa Rais wa nchi zetu hizi za kizandiki yakupasa kuwa mwanamtandao...

Hadi hapa tulipofikia sioni nchi ikiongozwa na candidate asiye na chama chochote cha siasa...

Kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi hii, hairuhusu mbombea asiye na chama. LAZIMA awe mwananchama wa chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom