- Thread starter
- #41
Sasa wanapigwa na psychological warfare na ktk hili wairan ni wataalamu mno muisrael ataachwa achwa kwanza ajisahau halafu atalipiziwa ila tu hii psych ops inwafrustrate israell na majamaa zake wote.
Ni kawaida kulinywa baada ya kulikoroga. Alifuata Nini Israel kwenye consulate ya wenyewe?