Marekani yaonyesha silaha yake inayotumia Laser

Marekani yaonyesha silaha yake inayotumia Laser

I guess unaongelea beta rays.
kama ulibahatika kusoma Physics kidogo utakumbuka weakness ya Laser beam ni kwamba haipenyi kwenye karatasi, so itabidi niongee na korea kaskazini nimwambie bwana kim aongezee material flani design ya karatasi na mengineyo ili yasiguse kombora lake; SIMPLE LIKE THAT[/QUOTE
 
yaaan ww usipoiona UNITED STATES OF AMERICA bas utakua huna macho, yaan ata WORLD BENK usiijue.FBI and CIA zisome vizur hiz special forces labda waweza jifunza kityu kuhusu US
 
Hii project ilikua ya wanasayansi wa NAZIS hata ukitafuta doc utaona hilo ila warusi na mijimarekani ilivyoingia ndo ikawaiba
ivi kila project mnasema Us/Russia wame iba kwa Nazi/Germany

mtu onyeshe sasa izo project zao zilizo kamilika maana sio kila siku wana ibiwa

achen kulia lia bhana khaaa!!

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
Mkombozi pekee wa hii dunia ni North Korea. Yangepatikana mataifa 3 tu kama North Korea dunia ingekuwa na Amani. Waendelee kufyetua makombora yatakayofika Africa.
 
Tatizo jinsi unavyoandika "madude yake, kufumua" inaonekana unaamini katika kutumia masilaha makubwa kubwa kimuonekano, Laser ni miale haionekani, nadhani hata unge-gugo ungepata mwanga ila sasa umekuja na ishu za mikombora inaonekana una ushabiki.
Hahahaa! Yeah jamaa bado anaamini katika old generation weapons (mikombora mukubwa) wakati USA wameshaanza kuhama huko kutokana na kukua kwa Science na teknolojia yaani kwa sasa wanawekeza zaidi kwenye sophisticated weapons (kama laser)...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ulibahatika kusoma Physics kidogo utakumbuka weakness ya Laser beam ni kwamba haipenyi kwenye karatasi, so itabidi niongee na korea kaskazini nimwambie bwana kim aongezee material flani design ya karatasi na mengineyo ili yasiguse kombora lake; SIMPLE LIKE THAT
Hataree sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapozungumzia laser maana yake unazungumzia light na unapozungumzia light huwezi kuacha kuzungumzia speed. Mwanga ndicho kitu kinachosafiri kwa kasi zaidi duniani ukiwa na kasi ya kuweza kuizunguka dunia zaidi ya mara 7 kwa sekunde. Sasa hawa jamaa kama silaha zao wamehamia kwenye teknologia ya mwanga maana yake hayo makombora ya akina kiduku yanayosafiri km. 2000 kwa dk. 10 ni sawa na kufananisha kasi ya mkokoteni na supersonic jet.

Yaani muda wa Kiduku kunyayua mkono hadi kubofya kitufe cha kufyatua kombora kwenye ile milori yake silaha ya laser iliyoko upande wa pili wa dunia inakuwa imemzunguka mara 7; ha ha ha! Ataishia kuona nyota tu pumbaf. Kuna siku watakuja ku-inject "rays" fulani kwenye mwanga wa Jua at a certain inclination angle kum-target adui; hapo itabidi viduku waishi mashimoni maisha yao yote.
Hatari sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache ujinga. Juzi manowari yao imegongwa na meli ya kawaida ilobeba makontena. Na walidai manowari zao ni sophisticated iweje ilishindwa kujilinda dhidi ya meli ya kawaida ya mizigo
Point kubwa sana...
Japokuwa US sio wakuwa underestimate ..lakini nao wana propaganda sana
 
Back
Top Bottom