Yaaani naanza kuamini sasa movies nyingi za Hollywood kuna baadhi ya mavitu ni project za kweli zilizopo ndani ya jeshi la Marekani. Nikikumbuka kuna movie niliangalia(siikumbuki jina) inaonyesha risasi inafata mtu mara mwaka jana kama sikosei kukawa na taarifa Marekani wanatest hyo aina ya risasi na kama kuna uzi kuhusi hyo habari ulishaletwa humu.
Kama hii laser wanasema baadae itatumika hadi kutungua ICBMs maana speed yake ni 5000times the speed of ICBM
Acheni tu hawa jamaa watumie dola billion 600+ za jeshi maana hayo maprojekti yao sio ya nchi hii