mnyonge wa hali ya chini
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 931
- 1,172
Aitolee wapi wakat hyo ndo silaha ya kwanza ya Lacer kua tested
Basi hizo project ni za kwenu ufipa huko marekani wamekuja kuibaivi kila project mnasema Us/Russia wame iba kwa Nazi/Germany
mtu onyeshe sasa izo project zao zilizo kamilika maana sio kila siku wana ibiwa
achen kulia lia bhana khaaa!!
Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
tayari potable laser weapons ziko mitaaniAseee hii silaha mara ya kwanza watu walikua wanasema haiwezekani kwamba ni Science fiction tu sasa jamaa wamekuja nayo kiuhalisia
Ona Ulivo Bashite! mambo ya Ufipa yana husiana na nini apa watu tuna zungumzia LAWS we unaleta ukilaza wako apa Mi nataka unieleze iyo Project ilio ibiwa ambayo hao Nazi wali i develop ika kamilka ama ambayo wanayo imeidevelop wanaimilki hiv sasa!!Basi hizo project ni za kwenu ufipa huko marekani wamekuja kuiba
Starwar namba ngapiSijawahi iona hyo movie. Ila ni kama zile za kwenye movie ya Starwar.
Yaaani naanza kuamini sasa movies nyingi za Hollywood kuna baadhi ya mavitu ni project za kweli zilizopo ndani ya jeshi la Marekani. Nikikumbuka kuna movie niliangalia(siikumbuki jina) inaonyesha risasi inafata mtu mara mwaka jana kama sikosei kukawa na taarifa Marekani wanatest hyo aina ya risasi na kama kuna uzi kuhusi hyo habari ulishaletwa humu.
Kama hii laser wanasema baadae itatumika hadi kutungua ICBMs maana speed yake ni 5000times the speed of ICBM
Acheni tu hawa jamaa watumie dola billion 600+ za jeshi maana hayo maprojekti yao sio ya nchi hii