ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Mkuu usipoteze energy yako bure... Kijeshi mpaka sasa hakuna anayemfikia Marekani labda Russia maana ushindani wao haujaanza jana wala Leoanza leo tafuta link ata za enzi za nyerere kama utapata inayosema north Korea ipo juu kwa chochote kile sio kivita tu ata wingi wa uchafu mpaka vibaka,north Korea bado nchi ndogo sana kwa marekan ww mwenyewe unachojua kuhusu hio nchi n mabomu tyu tena ambayo yapo kwenye majaribio labda na jina la rais wao na mji kuu mkuu bas nothing else. HONESTLY[emoji38] [emoji38] [emoji38] lakn marekan unajua mpaka hawam zote za marais wao very impressive[emoji38] [emoji38]
Mfano wakat wanaanza project za Laced weapons watu walikua wanasema haiwezekani na ni Sci-fi tu lakini leo kitu kimejipa wanaingia Second generation ambayo itakua na uwezo wa kutungua had makombora.
Mchina nae nasikia anataka kuanza kudevelop zake na yeye sijui itamchukua mda gan...