Marekani yaonyesha silaha yake inayotumia Laser

Marekani yaonyesha silaha yake inayotumia Laser

Yaaani naanza kuamini sasa movies nyingi za Hollywood kuna baadhi ya mavitu ni project za kweli zilizopo ndani ya jeshi la Marekani. Nikikumbuka kuna movie niliangalia(siikumbuki jina) inaonyesha risasi inafata mtu mara mwaka jana kama sikosei kukawa na taarifa Marekani wanatest hyo aina ya risasi na kama kuna uzi kuhusi hyo habari ulishaletwa humu.

Kama hii laser wanasema baadae itatumika hadi kutungua ICBMs maana speed yake ni 5000times the speed of ICBM
Acheni tu hawa jamaa watumie dola billion 600+ za jeshi maana hayo maprojekti yao sio ya nchi hii
01130.jpg
 
Mkuu wauza maneno hao siyo wa kuamini ata kidogo ndio maana hawapendi vita kama hawaja kujua sasa pale kwa kiduku wameshindwa kwa sababu kiduku mwenyewe anatumia internet yake mwenyewe software zake mwenyewe wameshindwa kumchunguza ndio maana waliamua kusepa kiuwana ume kutoka huko rasi ya north Korea maana waligundua wana chunguzwa wao badala ya wao kuchunguza mkuu wachina na north korea wasikie tu kwenye masikio kila kitu wanaweza anacho kionyesha marekani leo unaweza kuta north anakijua miaka 3 iliyopita !!!!
Hizi picha nazo ni finction,Kwa akili yako N.K ameendelea ki tech kuliko US?..Hahahahaaaa,Huu ushabiki wa vijiweni unawafanya hadi mjitoe akili.Kwa taafifa yako fupi N.K bako hajaweza kumiliki ICBM,Huu ni uhalisia ambao watu kama nyie hamtaki kuamini.Baada ya kama miaka mi 5 ndio atakuwa na uwezo wa kutengeneza thermonuclear war head.
01130.jpg
 
Unapozungumzia laser maana yake unazungumzia light na unapozungumzia light huwezi kuacha kuzungumzia speed. Mwanga ndicho kitu kinachosafiri kwa kasi zaidi duniani ukiwa na kasi ya kuweza kuizunguka dunia zaidi ya mara 7 kwa sekunde. Sasa hawa jamaa kama silaha zao wamehamia kwenye teknologia ya mwanga maana yake hayo makombora ya akina kiduku yanayosafiri km. 2000 kwa dk. 10 ni sawa na kufananisha kasi ya mkokoteni na supersonic jet.

Yaani muda wa Kiduku kunyayua mkono hadi kubofya kitufe cha kufyatua kombora kwenye ile milori yake silaha ya laser iliyoko upande wa pili wa dunia inakuwa imemzunguka mara 7; ha ha ha! Ataishia kuona nyota tu pumbaf. Kuna siku watakuja ku-inject "rays" fulani kwenye mwanga wa Jua at a certain inclination angle kum-target adui; hapo itabidi viduku waishi mashimoni maisha yao yote.
Ni kweli mkuu, tatizo humu kuna watu wana feel inferior kwa Marekani kuwa na uwezo wa kiakili namna hii. Ndio maana mashabiki wa NK humu bado wana mentality hata wakiandika utaona bado wako manual. Wanaandika eti NK ana "mikombora, mivifaru, midude" yani bado wako nyuma ki-tech kama NK yao. Sasa kuna jamaa hapo juu nikamwambia yeye anaongelea mikombora sijui wakati kuna hii silent killer inasafiri kwa speed ya mwanga tena inakuja na massive energy. All in all, Wenzetu wana umiza vichwa aisee.
 
kama ulibahatika kusoma Physics kidogo utakumbuka weakness ya Laser beam ni kwamba haipenyi kwenye karatasi, so itabidi niongee na korea kaskazini nimwambie bwana kim aongezee material flani design ya karatasi na mengineyo ili yasiguse kombora lake; SIMPLE LIKE THAT
very very simple.
 
Hii project ilikua ya wanasayansi wa NAZIS hata ukitafuta doc utaona hilo ila warusi na mijimarekani ilivyoingia ndo ikawaiba
 
Mapaki akijaribu kesho yale madude yake ya masafa marefu ya maangamizi ambayo haya tishwi na hiyo laser wasi lalamike !!!
Mamaaeeee laser kitugani mapaki ana madude ya kufumua laser rada sijuwi chuma chakavu chuma cha pua kwa pigo moja tu !!!
Mapunki asifanyie majaribio ya ujinga wake kwa Marekani.Makombora ya masafa marefu ya N Korea si kitu kwa sababu Marekani pia anayo ya zaidi ya masafa marefu na hana haja ya kuyaonesha.Na sasa ana silaha ya laser beam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeua wangapi mpaka saa hii

Nani alifanyiwa majaribio
Ili niamini sababu wako vizuri katika mind feeding
 
ila ki ukwel marekan ni waonez dunian wao wanatest na kutengeneza silaa kila siku lkn hakuna nchi ambayo inawaonya lkn wao wakiskia nch nyingine inatengeneza wanaanza kuleta ukolofi, mf north korea huu ni uonez kila mtu ajibebe tu akuna kupangiana maisha...north korea keep it up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ugunDuzi wenye tija ktk zama hizi za teknolojia,Sema walio na tofauti za kisiasa, kiuchumi, kijeshi n.k na marekani Nao watafanya jitihada kupata hiyo Mashine au Pengine Washaipata,..Urusi, n'korea, Iran n washirika wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom