Marekani yaonyesha silaha yake inayotumia Laser

Mapaki akijaribu kesho yale madude yake ya masafa marefu ya maangamizi ambayo haya tishwi na hiyo laser wasi lalamike !!!
Mamaaeeee laser kitugani mapaki ana madude ya kufumua laser rada sijuwi chuma chakavu chuma cha pua kwa pigo moja tu !!!
 
kama ulibahatika kusoma Physics kidogo utakumbuka weakness ya Laser beam ni kwamba haipenyi kwenye karatasi, so itabidi niongee na korea kaskazini nimwambie bwana kim aongezee material flani design ya karatasi na mengineyo ili yasiguse kombora lake; SIMPLE LIKE THAT
 
Mapaki akijaribu kesho yale madude yake ya masafa marefu ya maangamizi ambayo haya tishwi na hiyo laser wasi lalamike !!!
Mamaaeeee laser kitugani mapaki ana madude ya kufumua laser rada sijuwi chuma chakavu chuma cha pua kwa pigo moja tu !!!
Tatizo jinsi unavyoandika "madude yake, kufumua" inaonekana unaamini katika kutumia masilaha makubwa kubwa kimuonekano, Laser ni miale haionekani, nadhani hata unge-gugo ungepata mwanga ila sasa umekuja na ishu za mikombora inaonekana una ushabiki.
 
Mkuu umeona sasa kuwa hujuwi nini nilikuwa nina manish me ninayo laser inayo onekana
Ya 500m !!!!
 
Waache ujinga. Juzi manowari yao imegongwa na meli ya kawaida ilobeba makontena. Na walidai manowari zao ni sophisticated iweje ilishindwa kujilinda dhidi ya meli ya kawaida ya mizigo
Mkuu wauza maneno hao siyo wa kuamini ata kidogo ndio maana hawapendi vita kama hawaja kujua sasa pale kwa kiduku wameshindwa kwa sababu kiduku mwenyewe anatumia internet yake mwenyewe software zake mwenyewe wameshindwa kumchunguza ndio maana waliamua kusepa kiuwana ume kutoka huko rasi ya north Korea maana waligundua wana chunguzwa wao badala ya wao kuchunguza mkuu wachina na north korea wasikie tu kwenye masikio kila kitu wanaweza anacho kionyesha marekani leo unaweza kuta north anakijua miaka 3 iliyopita !!!!
 
Aseee hii silaha mara ya kwanza watu walikua wanasema haiwezekani kwamba ni Science fiction tu sasa jamaa wamekuja nayo kiuhalisia
kwa hiyo hii ni sawa na zile zilizotumika katika katika movie ya MIB. MAN IN BLACK
 
Back
Top Bottom