kama ni hivyo basi na sisi “wabantu” tumepora ardhi ya hao wahandzabe kwa maana wabantu wametokea west afrika kupitia kongo mpaka hapa kwetu, hivyo wabantu hii ardhi ya tanzagiza ya leo siyo ya kwao, hapa siyo kwao pia na wamepora ardhi ya wahandzabe na bushmen wengine walioishi hapa au mkoa woote wa kilimanjaro na arusha ni masai land, wabantu waishio mkoa wa klm au arusha walikuja kutokea west afrika kupitia kongo kwa hiyo pia walipora ardhi ya wamasai na wanapaswa kufukuzwa ?
Jamiiii za Weusi azina historia ya Uvamiz ktk alakati zao zakutafuta maisha yao,,!!!
kuwepo kwa makabila mengi Tanganyika kunaondosha uwongo wawa Zungu. ukweli utabaki ivyo!!!!!!
jamii ya Anzabe imepitia vipindi vigumu kwa miaka mingi kutokana na sela za Serikali mabadiliko ya matumizi ya Ardhi lkn miaka ya sasa Serikali imekuwa ikifanya juudi kulinda izo jamii!!!
japo wanachangamoto sana mfano kuna mwaka Serikali iliwapelekea mbuzi ili japo wajifugie lkn tunajua kilichotokea !!
mbuzi wote waliliwa usiku mmoja tu kuamkia asubui bwana mifugo kafika asubui kuendelea kutoa semina ya Ufugaji ndio anakuta mbuzi wote aliowaacha jana yake Wameliwa Usiku!!!!!
Kuuliza vipi akajibiwa sisi kwetu ni mwiko kulala na nyama mungu wetu akitupa Nyama inatakiwa tule tumalize Siku iyo iyo ili mungu atupe tena siku inayofata!!!!!
Bwana mifugo aliondoka kachoka hoii !!
lkn Serikali inawapa misaada tofaut tofaut kulinda iyo Jamiii!!!
Kuusu Wabantu kutokea Kongo na kudai Tanganyika inaundwa wa Jamii za wakongo na jamiii kutoka jangwa la Sahara waabesh!!! waliokuja na mifugo yao mikoa ya kaskazini
hii historia ni ya Wazungu mm uwa siamini kitu kikitoka kwa Mzungu mzungu anaweza kukudanganya kuusu Utambulisho wako!!!!
tumeona kwa mfano mlima kilimanjaro wenyeji wanauita Longai mzungu anaupa jina atakavo yeye pale Mwanza napo unasikia kuna Victoria wkt Wasukuma wapo apo miaka kwa miaka!!!
na jina lao lipo!!! Sasa kaja Mzungu kamzawadia ziwa demu wake Victoria ipo siku tutafuta aya majina tuondokane na ujinga,