Wamarekani na waisrael hawataki vitaUchaguzi unamuendea Kombo Trump, anatafuta unity na support kutoka kwa Wamarekani kupitia vita.
Bila marekani na istahell dunia is ingekua na vitaWamarekani na waisrael hawataki vita
Hawana, nchi ambayo ingeruhusu Iran ijenge kambi zake karibu na Marekani ingeteswa milele. Mfano Cuba hadi leo Marekani anawatesa kisa missile crisis ya miaka ya 1950s. Marekani slogan yao ni uonevu na ubabe,.wakufanyie wewe ubaya ila wewe usiwafanyie wao. Angalia mfano kambi za jeshi za NATO zipo jirani kabisa na Urusi halafu jiulize kama Urusi angekuwa na kambi za jeshi karibu na Marekani nini kingetokea. Lakini pia adui mwingine mkubwa wa Iran ni Israel na inawezekana kuishambulia Israel kutokea hapo hapo Iran pamoja na kuwatumia mawakala wao eg wahouthi ambao kwa sasa wamejiimarisha vyema hapo Yemen .I get it now
Na Iran hawana military bases za kushambulia karibu na marekani?
Hata USA haishambulii Iran moja kwa moja toka Washington.Hivi naomba kuuliza.mi sio mjuzi wa haya mambo.Kwanini Iran hawezi kushambulia Moja Kwa moja marekani kama anavyoshambuliwa?
Yani apige kule New York,Las Vegas nk.
Nyuma nliona anashambulia military bases labda Kwa Nia ya kumdhoofisha.why hafiki kule?
Na pia nchi nyingi kwa sasa zinajitahidi kueneza ushawishi wao barani Afrika. Sio Urusi sio China sio Ufaransa, ndio maana mamikutano sijui France - Africa Summit sijui Korea- Africa Summit hayakauki. Kushambulia kambi za jeshi huku Afrika ni kupoteza ushawishi ambao wenzako wanapambana kuupata hadi wanalipa influencers. Mfano mzuri ni Macron anavyopambana na influence ya Traore miongoni mwa vijana hadi mwaka huu kaenda Kenya kupika Ugali na Sukumawiki.Yeah. Ni sahihi, na kwa sasa Africa ndo imebaki haijamkoromea Iran.
Kwa sasa Una magari mangapi yanayotumua mafuta?Ni muda wa kununua gari la umeme hawa wajinga watafanya tununue mafuta 10,000 kwa lita
Wangeona kuna ulazima wa kuweka kambi ya kijeshi Kigamboni wangeweka tuu hakuna cha akili wala nini.Nasisi walitaka kutuweka majaribun kwa kutaka kuweka kambi ya kijeshi pale kigambon, tukagoma, angalau tulikuwa na akili
Natamani siku moja kobazi irani washambulie eneo ndani ya moja ya states za USA.Mashambulizi dhidi ya Iran ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka na usalama wa taifa Marekani inapaswa kuwajibika kwa hatua zake chini ya sheria za kimataifa....
Hawawezi kufanya hivyo mkuu, wakishambulia maeneo ya maslahi ya Marekani hapo Middle East inatosha. Hizo gharama za kutuma makombora kwenda US umbali wote huo bora watumie kuwaimarisha wahouthi wamsumbue msaudia.Natamani siku moja kobazi irani washambulie eneo ndani ya moja ya states za USA.
Tuone mwisho wake.
Kwa sasa Una magari mangapi yanayotumua mafuta?
Naomba nikusaidie. Sio Marekani tu, bali Iran haiwezi kupambana na nchi yoyote hapa chini.Hivi naomba kuuliza.mi sio mjuzi wa haya mambo.Kwanini Iran hawezi kushambulia Moja Kwa moja marekani kama anavyoshambuliwa?
Yani apige kule New York,Las Vegas nk.
Nyuma nliona anashambulia military bases labda Kwa Nia ya kumdhoofisha.why hafiki kule?
US wakatoa makombora yao yaliyokuwepo Russia.. ni bangi au nini umeandika1960s ilibaki kidogo sana Russia /USSR na US wazichape..
Kisa ni USSR kuiwezesha Cuba kwa silaha..
US walifunga njia baharini wakiweka mstari wa meli tayari kwa lolote, ili wazuie meli za USSR zilizokuwa na silaha zisifike Cuba..
Meli za USSR zilisogea karibu, ndipo Nikita Khruschev akatoa order kwamba wageuze meli , lakini vita ya nyuklia ilikuwa inanukia...
Ilibaki kidogo sana...
Russia ilitoa makombora yake yaliyokuwepo Cuba... na US wakatoa makombora yao yaliyokuwepo Russia..
Hili la shambling hua wanalifanya tu dhidi ya nchi dhaifuNaomba nikusaidie. Sio Marekani tu, bali Iran haiwezi kupambana na nchi yoyote hapa chini.
Kinachompa jeuri Marekani ni NATO.. Je Iran anaiweza NATO akiwa peke yake?
NATO wanasheria yao inasema; Ukishambulia Mwanachama wa NATO ni sawa na kushambulia NATO nzima. Yaani kabomu Kako katue pale Poland, ni sawa na umeipiga Italy.. Wanakushambulia kwa nguvu moja..
So watu hawataki matatizo na NATO. Otherwise Marekani ingeshapigwa kitambo. Hapa chini nimekuwekea Nchi za NATO zote
Albania
Ubelgiji (Belgium)
Bulgaria
Canada
Croatia
Jamhuri ya Czech (Czechia)
Denmark
Estonia
Finland
Ufaransa (France)
Ujerumani (Germany)
Ugiriki (Greece)
Hungary
Iceland
Italia (Italy)
Latvia
Lithuania
Luxembourg
Montenegro
Uholanzi (Netherlands)
North Macedonia
Norway
Poland
Portugal
Romania
Slovakia
Slovenia
Hispania (Spain)
Sweden
Uturuki (Türkiye)
Uingereza (United Kingdom)
Marekani (United States)
Kanuni ya Ibara ya 5: Shambulio dhidi ya mwanachama mmoja wa NATO linachukuliwa kuwa shambulio dhidi ya wanachama wote.
Sorry yaliyokuwepo Turkey...US wakatoa makombora yao yaliyokuwepo Russia.. ni bangi au nini umeandika
Typo mkuu , yalikuwapo Turkey..Hebu fafanua vizuri makombora ya USA yalikuwa Uturuki au Russia?