Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

Naomba nikusaidie. Sio Marekani tu, bali Iran haiwezi kupambana na nchi yoyote hapa chini.

Kinachompa jeuri Marekani ni NATO.. Je Iran anaiweza NATO akiwa peke yake?

NATO wanasheria yao inasema; Ukishambulia Mwanachama wa NATO ni sawa na kushambulia NATO nzima. Yaani kabomu Kako katue pale Poland, ni sawa na umeipiga Italy.. Wanakushambulia kwa nguvu moja..

So watu hawataki matatizo na NATO. Otherwise Marekani ingeshapigwa kitambo. Hapa chini nimekuwekea Nchi za NATO zote

Albania
Ubelgiji (Belgium)
Bulgaria
Canada
Croatia
Jamhuri ya Czech (Czechia)
Denmark
Estonia
Finland
Ufaransa (France)
Ujerumani (Germany)
Ugiriki (Greece)
Hungary
Iceland
Italia (Italy)
Latvia
Lithuania
Luxembourg
Montenegro
Uholanzi (Netherlands)
North Macedonia
Norway
Poland
Portugal
Romania
Slovakia
Slovenia
Hispania (Spain)
Sweden
Uturuki (Türkiye)
Uingereza (United Kingdom)
Marekani (United States)

Kanuni ya Ibara ya 5: Shambulio dhidi ya mwanachama mmoja wa NATO linachukuliwa kuwa shambulio dhidi ya wanachama wote.
Libya sijui ilikuaje akapigwa mande na US, UK, France na Italy nadhani pia. Ikitokea hiyo coalition ikawa dhidi ya Iran, naamin Iran inaweza ikawa sehemu mbaya zaidi na hata Hormuz inaweza funguliwa.

Kambi ya Diego Garcia ya Uingereza, wameweka restrictions kwa majeshi ya USA dhidi ya operation yake kwa Iran. Ni kambi kubwa na ya kimkakati sana dhidi ya Iran.
 
Back
Top Bottom