Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Marekani inashambulia Iran hivi sasa.

Maeneo ya kurushia makombora huko Bandar Abbas na Qeshm yamelengwa.

Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa. Mashuhuda katika mji wa Qeshm wameelezea kusikia milipuko mikubwa 5 hadi 6 mfululizo, ikifuatiwa na mitikisiko mikali.
 
Attachments

  • IMG_6400.jpeg
    IMG_6400.jpeg
    43.1 KB · Views: 5
  • IMG_6399.jpeg
    IMG_6399.jpeg
    27.1 KB · Views: 5
Marekani inashambulia Iran hivi sasa.

US launches strikes after Iran downs American drone​

Published 3 Nov, 2026 02:21

​

US strikes Iran ahead of midterm elections​

The US officials described the strikes as limited and said they were in response to Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) firing upon a US aircraft.

Marekani inashambulia Iran hivi sasa.

Maeneo ya kurushia makombora huko Bandar Abbas na Qeshm yamelengwa.

Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa. Mashuhuda katika mji wa Qeshm wameelezea kusikia milipuko mikubwa 5 hadi 6 mfululizo, ikifuatiwa na mitikisiko mikali.
Mashambulizi dhidi ya Iran ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka na usalama wa taifa Marekani inapaswa kuwajibika kwa hatua zake chini ya sheria za kimataifa....
 
Hivi naomba kuuliza.mi sio mjuzi wa haya mambo.Kwanini Iran hawezi kushambulia Moja Kwa moja marekani kama anavyoshambuliwa?
Yani apige kule New York,Las Vegas nk.
Nyuma nliona anashambulia military bases labda Kwa Nia ya kumdhoofisha.why hafiki kule?
Makombola ya iran hayawezi fika marekani, ni mbali sana. Labda atumie ndege
 
Hivi naomba kuuliza.mi sio mjuzi wa haya mambo.Kwanini Iran hawezi kushambulia Moja Kwa moja marekani kama anavyoshambuliwa?
Yani apige kule New York,Las Vegas nk.
Nyuma nliona anashambulia military bases labda Kwa Nia ya kumdhoofisha.why hafiki kule?
Jiulize kwanza kwa nini marekani aliweka kambi nyingi karibu na Iran
 
Hivi naomba kuuliza.mi sio mjuzi wa haya mambo.Kwanini Iran hawezi kushambulia Moja Kwa moja marekani kama anavyoshambuliwa?
Yani apige kule New York,Las Vegas nk.
Nyuma nliona anashambulia military bases labda Kwa Nia ya kumdhoofisha.why hafiki kule?
Iran haina washirika waliopo karibu na US , US ana kambi za kijeshi nyingi mashariki ya kati a duniani kote ambapo hurusha ndege vita na kuishambulia Iran... standoff strike....

Saudia , Qatar, Bahrain , Jordan ,Iraq nakdhalika hizo nchi zote zina kambi za US, na nchi hizo zipo karibu na US...

Iran nayo ingalikuw na kambi zake South America, Canada , ama nchi yeyote iliyopo karibu na US basi wangeshambulia ndani ya US...

Kwa kulitambua hilo Iran wanafanya mashambulizi kwenye kambi za Marekani zilizopo Gulf ambazo zipo karibu yake...

Kambi nyingi za US mashariki ya kati zimefungwa na askari hawapo, inactive... zimeshambuliwa...

Ukisema kuishambulia US ndani, tunazungumza kutumia Intercontinental Ballistic Missile, missile iruke kilomita 10000 ama zaidi... Ama Iran iwe na bomber, ndege kama B2...

US inashirikiana na nchi nyingi kwenye masuala ya kulinda anga, wana integrated air defense... Iran hata kama wakirusha missile yenye range ya 10000 KM bado US itapata taarifa mapema kutoka kwa washirika wake kabla hata haijafika US...

Mwisho wa yote Iran kwa teknolojia yake ya missile wana uwezo mzuri tu kurusha missile ikaingia US, lakini gharama itakayotumika ni kubwa kuliko damage itakayofanya, nikiwa namaanisha kombora la 10000 KM at least liwe ni tactical nuclear... ni kama upande gari nauli Tsh 5000 unakwenda kununua bidhaa kwa Tsh 1000, ambapo hio bidhaa hapo unapoishi inauzwa Tsh 1500...

Iran missiles zake zimetengenezwa kwa range ya kufika popote ndani ya mashariki ya kati...
 
Marekani imefanya mashambulizi kwenye Kisiwa cha Qeshm cha Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz, kulingana na The Wall Street Journal, ikinukuu maafisa wa Marekani. Vyombo vya habari vya serikali ya Iran viliripoti milipuko mingi kisiwani humo, huku afisa mmoja wa Marekani akisema mashambulizi hayo yalilenga vikosi vya Iran kwa kutumia makombora ya ardhini dhidi ya mali za Marekani.

Shambulio hilo lililoripotiwa linakuja kabla tu ya uchaguzi wa katikati ya muhula wa Marekani na linafuata mfululizo wa mashambulizi madogo ya Marekani dhidi ya malengo ya Iran katika wiki za hivi karibuni. Kulingana na The Wall Street Journal, Washington imeweka operesheni hizo kwa makusudi kuwa chache na za siri ili kuepuka kuashiria kurudi kwa kampeni pana ya kijeshi dhidi ya Iran. Kamandi Kuu ya Marekani bado haijatoa maoni hadharani.
 
Attachments

  • 1526301107096633292.mp4
    17.3 MB

Aah. Bado sijasikia kobaz wakitoa mlio. Tusubiri dawa ikolee au saivi wanalilia kwapani?
 
AMERICANS ARE SO SMART,
WALIMTAFUTA MPUUZI MMOJA KULE MIDDLE EAST, AKAKUBALI AWEKEWE KITUO KIKUBWA CHA KIJESHI KWAKE ILI VITA IKIPIGANA ISIENDE MAREKANI; HUYO MPUUZI NDIYE AWE UWANJA WA VITA.
UKISIKIA MAREKANI ANATAKA KUWEKA KITUO CHA KIJESHI KWAKO JUA TU, WEWE NDIO FURSA YA KUGEUZWA UWANJA WA VITA KWENYE NCHI ZOTE ZILIZOKUZUNGUKA.....
Kwa hiyo hao waliokubali Nchi zao ziwe uwanja wa vita, wanachokipitia ni matokeo ya maamuzi yao...
Nasisi walitaka kutuweka majaribun kwa kutaka kuweka kambi ya kijeshi pale kigambon, tukagoma, angalau tulikuwa na akili
 
Back
Top Bottom