FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,811
- 46,933
Wa kuiangusha ni mwenyewe aliyeiumba dunia na hazuiliwi na chochote kuiangusha hiyo USAThe most powerful country..achaneni nayo hiyo wakuiangusha bado hajazaliwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi unatembea humu ukidai kwanini Saud Arabia hakuna democracy lakini wana maendeleo kiuchumi makubwa sana [emoji848]Ili kupata maendeleo yanahitajika mambo naku 3
1 Ardhi
2 watu
3 siasa safi yaani democrasia
Kifuatacho ni mibaraka kila k0na
The most powerful country..achaneni nayo hiyo wakuiangusha bado hajazaliwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani US imekuwa giant and economic super power baada ya second world war na kuanza kuikopesha Europe na nchi zingine zilizoharibiwa na vita hizo na baadae kuweka taasisi kubwa za fedha kama IMF, World Bank N.K..Huwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.
Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa marekani...
Pia hana raisi mwenye vibaraka ambao wanashirikiana na mataifa mengine kuhujumu taifa laoNami nimejiuliza swali kama hilo kwa ufupi nikagundua Marekani anapata sana hela zake kwa Mauzo ya Silaha na Teknolojia Nahisi karibia nchi zote za NATO jamaa ndio anasupply Vifaa vya kijeshi na baadhi ya nchi za kiarabu Saudia Arabia, UAE...
hakuna uchumi wa hivi mzeejibu hili hapa
stori za vijiweniKwa kuchochea Vita duniani!
Na kuingiza uwoga na uchochezi!
Inamlipa,
Analipwa na anaowagombanisha mbona rahisi Tu!
nikishaonaga coment kama hii ..... au basiWa kuiangusha ni mwenyewe aliyeiumba dunia na hazuiliwi na chochote kuiangusha hiyo USA
Huoni wanavyojambajamba baada ya Putin kusema atauza bidhaa zake kwa Ruble au dhahabu?hakuna uchumi wa hivi mzee
kwahiyo huo ukweli wako umeusoma wapi?Huoni wanavyojambajamba baada ya Putin kusema atauza bidhaa zake kwa Ruble au dhahabu?
Hii dunia iache mkuu, uliyofundishwa shuleni 80% ni uongo.
Na ili ufaulu lazima ukubali uongo.
Ukweli hausomwi,kwahiyo huo ukweli wako umeusoma wapi?
Na lini US amelia kuhusu kauli ya Putin ?
Samahani halafu wewe jamaa juzi kama nilikuona pale karume kwenye kijiwe cha kahawa
kwani ndo nchi pekee inayojichapishia hela? mbona hao wengine wanaprint hela hawa uchumikma wa marekaniPesa wanachapisha tu wenyewe