Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,890
43,782
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese Yuan au Japanese Yen kwenye bureau offices, au China na Japan hukataa pesa yao wenyewe?! Hivi hizo dollar mnanunuliaga nini huko marekani?
================================
Update: 03/08/2019
Hatimaye ukweli umegundulika, kumbe Marekani ilikuwa inachapisha dollar nyingi kuliko ukuaji halisi wa uchumi wai na kwenda kuzisambaza duniani, na kwa kuwa kila kitu kinakuwa traded in dollar le shock ilikuwa inabebwa na mataifa mengine yanayotumia dollar kama base curreny. Sasa Marekani ili kuendelea kumaintain a high standard of life kwa wananchi wake imejikuta ikichapisha Trillions of dollars hewa ambazo kiuhalisia hazina back up ya dhahabu au mali yoyote ile ya ku-support hayo makaratasi wanayochapisha, ni kama wanaikopa dunia, kiasi kama wote tukisema turudishe dollar tulizonazo kwa serikali ya marekani ili iwezu redeemed kwa dhahabu ay mali zingine ni kwamba kutakuwa na excess ya dollar Trillion 22 ambazo zitakosa mali za kuwa redeemed with, yaani hawa mbwa wanaishi kwa kuchapisha pesa tu, hawafanyi kazi, ni wanaikopa dunia!


================================
Update: 01/10/2021

Kwa Mara kwanza tangu kuanzia kwa USA, wako hatarini kufikia Debt ceiling, hii maana yake ni kwamba wamechaposha pesa nyingi mno (kukopa) kiasi dunia haiko tayari tena kuwakopesha , hasa China na Japan kwa sababu deni linavuka kiwango kinachohimilika. Sababu kubwa ni waMarekani kujifungia ndani bila kufanya kazi huku wakichaposha noti na kuagiza bidhaa mbalimbali toka China, Japan, India na Africa; hivi sasa wanajadili kupandisha debt ceiling, ili kuongeza kiwango cha pesa wanachoweza kukopa toka kwa dunia ili kuhudumia miradi mbalimbali ya miundo mbinu.
DF2CCE14-BB80-477F-AD97-8DF5A11282A8.jpeg

=================================
Update: 08/10/2021
Marekani yaongeza kikomo cha kujikopesha, hivyo watachapisha tena baada ya kupandisha kikomo cha ‘Debt ceiling’ - Watachapisha Dollar bilioni 480 na kuja kuzibwaga Africa, China na Japan ili kupata nafuu ya muda hadi December.(Tsh. Trillion 1,200) Yaani Bajeti ya Tanzania ya miaka 50 wao wanachapisha ili iwasukume kwa miezi miwili tu, hahahah.
E27AA523-6813-46AA-8303-C5EAD9123CFE.jpeg


=================================
Update: 25/10/2021
419AC473-5019-4BEA-AC25-63133336794C.jpeg

Bidhaa nchini marekani zimeanza kupanda bei kwa kasi baada ya pesa kuwa nyingi na bidhaa kuwa adimu, haya ni matokea ya uchapishaji noti kwa kasi isiyo ya kawaida, dunia inashindwa kuzi-absorb kwa haraka hivyo zingine zinabaki na kujazana huko USA.
==================================
Update: 09/03/2022
Hatimae, mwisho wao unakaribia

Russia to Return to Gold Standard, Government to Remove VAT (Tax) on Bullion. This bill will be submitted to the State Duma on March 4,2022.​

In one fell swoop, Russia just made the Russian Ruble the single most stable currency in the entire world.
Moreover, they just fucked the US Dollar and the EURO so badly, neither currency is likely to survive.
Nobody around the world will favor a US dollar,backed by nothing, from a nation $30 TRILLION in debt, versus a gold-backed Ruble.
Russia just completely SMASHED the United States and the EUROZONE.
Think I'm kidding? Think again.
When Muammar Qaddafi in Libya planned on a Gold-backed currency for all of Africa, the West went into Libya and overthrew him.
When Saddam Hussein in Iraq announced he would start selling oil in currencies other than the U.S. Dollar, two months later was Iraq War 2 - and they hung him!
The U.S. Dollar being the sole reserve currency for this planet is why wars get waged, and now Russia has completely, totally smashed it.
You watch. The U.S. that has been saying "no nuclear war" and even Defense Secretary Lloyd Austin saying yesterday "All this talk of nuclear war is dangerous, stop it" is going to change almost overnight. The US is now in an existential crisis. Our currency has just been utterly smashed by Russia's decision to back the Ruble with Gold.
Watch the rhetoric about Russia from this moment on. You will notice it is ratcheted-up to vilification like you've never seen before. Why, they'll probably start accusing Russian troops of throwing babies out of incubators in Ukraine hospitals (like they accused Iraq) in order to justify going to war with Russia.
In my personal opinion, war with Russia is now a foregone conclusion. The US and Europe have no choice. If the Dollar and the EURO are to survive, Russia must be killed.
I hope you prepped. Food, water, medicine, etc.
Now get right with God. I mean it. The shit is about to hit the fan so badly, we'll be lucky to live through it.

UPDATE 8:45 AM EST FRIDAY MARCH 4 -- Two days ago on March 2, 2022, I recall seeing a SINGLE off-the-beaten-path notification which read simply "the EU has forbidden sale and import of EU banknotes into Russia." I remember thinking this was odd. How can anyone restrict the movement of cash and why would they? Now, we know.
Clearly the European Union (EU) got word that Russia was going to back their currency with Gold and the EU wanted to make sure no one in Europe could sell or even bring their cash EUROS into Russia to dump them for gold-backed currency! The EU knew this was coming . . . or at least they strongly feared it.
So now, people in Europe are hamstrung; they cannot use THEIR OWN MONEY to buy some other type of money without first converting that money to someone else's money that isn't restricted from going into Russia. Jump through hoops to use your own cash. These Bankers ARE tyrants. Outright vicious tyrants.

=========================
03/01/2023
Update: Marekani kuachana na pesa za makaratasi ifikapo 2024.

===========================
Update: 21/06/2023


==========================
Update: 10/10/2023


View: https://youtube.com/shorts/Pf3N3Ig0dPk?si=RN3LUerT7-PLJnKc

==========================
11/11/2024


View: https://www.instagram.com/reel/DB4BeVpo_IY/?igsh=eXNqbXJndjg2M2ti
 
Haya tutoe ujinga basi..
hahaha! kama unaweza kutumia JF, basi hata jibu unaweza kupata mtandaoni. wacha ujinga. tafuta utambue nguvu ya dola katika biashara ya ulimwengu. hujaona china amekomaa pesa yake itambulike na IMF kibiashara? ina maana yake, itafute. tafuta ujue ni pesa zipi zinatambulika na IMF kibiashara na kwa nini USD ni zaidi ya zote!
 
Ni ukoloni mamboleo tuu. Ukienda dzonga au kwa madiba hiyo dollar unaweza usiione.mkononi.mwako hata mwaka mzima.
Ulimbukeni tuu wa wabongo,wacongo,wazambia ndio watu wanaona usd issue.
mafuta yanatoka saudia, iran, nigeria, etc ila bei inatangazwa kwa USD. hujajiuliza hilo? wacha ujinga, nenda shule ni bure!
 
idoyo post: 15465743 said:
mafuta yanatoka saudia, iran, nigeria, etc ila bei inatangazwa kwa USD. hujajiuliza hilo? wacha ujinga, nenda shule ni bure!
My question stands. Nifafanulie, mi sijui kiingereza cha kwenye Google huko
 
Elimu ni muhimu sana.. Aliyeleta hii mada ana chembe chembe za ujinga uliotukuka... Ebu nenda hata kwenye site za kununua vitu huko China na Japan uone price imeelekezwa kwa pesa gani
 
Usishangae kuona hivyo. Tambua yakuwa USD ndio means of exchange ya biashara na miamala ya kimataifa. Dollar economy ndiyo inatawala dunia, hakuna TZS, ¥, €, £, Yuan, Russian rubble etc. BOT wanasimamia miamala yote na miamala ya kitaifa inatakiwa itumie TZS, ila miamala ya kimataifa lazima tutumie USD na BOT hawawezi kulazimisha matumizi ya TZS katika miamala ya kimataifa. Hii ni kwasababu ya dollar economy/ dollar supremacy.

Warusi wenyewe wanaangaika kuipiku dollar economy baada ya kuwa wanawekewa vikwazo Mara kwa Mara pia wanapotumia USD wanaimarisha zaidi fedha ya marekani. wamejitahidi ila wapi, na Unaijua urusi ni taifa kubwa kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk... ila hawawezi kuondoa dollar supremacy sasa wewe unataka tuiondoe eti kwa sababu hatutumii bidhaa nyingi kutoka marekani, unafikiri tutaweza???

Huku TZS inaporomoka thamani kila siku ingawa BOT wanajitahidi kusimamia matumizi ya shilling katika miamala ya ndani. Ila bado wafanyabiashara wanapendelea USD kwasababu inanguvu na inaimarika kila siku kuliko TZS. Bado ukienda kwenye mabenk ukiweka fixed deposit kwa fedha ya kigeni hususani UK pounds, Euro, USD unapata interest kubwa kuliko kuweka kwa TZS ndo maana kuna watu wanasema TZS ni fedha ya madafu . Kwahiyo usishangae kuona watu wanapenda USD.
 
mafuta yanatoka saudia, iran, nigeria, etc ila bei inatangazwa kwa USD. hujajiuliza hilo? wacha ujinga, nenda shule ni bure!
pia hata hizo bidhaa za china na Japan acheki kwa mtandao price yake ipo kwa USD.
 
Kwani pesa yote ni watu wanatumia kusafiri marekani, I say 0.000000000000000001% ndio hutumika kwa ajili hiyo. By the way, safari zimepigwa stop

Usiwe mbishi. Unaweza kutumia google kupata jibu na sio kuangalia porn.

Kifupi ni kwamba biashara zote za kimataifa lazima zihusike pesa za kimataifa kama Euro, Pound au Dollar.

Hata ukiagiza maembe hapo Kenya lazima utumie moja kati ya pesa hizo hapo juu.

Kwa kuwa Dollar zinapatikana kirahisi na zinaqualify kuwa 'vehicle currency' ndio maana biashara nyingi wanatumia dollar.

Hujawahi kuona hata tiketi za ndege za nchi nyingi wanaweka kwa dollar?

Huko China utapata kila huduma kwa kutumia Dollar.
 
Usishangae kuona hivyo. Tambua yakuwa USD ndio means of exchange ya biashara na miamala ya kimataifa. Dollar economy ndiyo inatawala dunia, hakuna TZS, ¥, €, £, Yuan, Russian rubble etc. BOT wanasimamia miamala yote na miamala ya kitaifa inatakiwa itumie TZS, ila miamala ya kimataifa lazima tutumie USD na BOT hawawezi kulazimisha matumizi ya TZS katika miamala ya kimataifa. Hii ni kwasababu ya dollar economy/ dollar supremacy.

Warusi wenyewe wanaangaika kuipiku dollar economy baada ya kuwa wanawekewa vikwazo Mara kwa Mara pia wanapotumia USD wanaimarisha zaidi fedha ya marekani. wamejitahidi ila wapi, na Unaijua urusi ni taifa kubwa kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk... ila hawawezi kuondoa dollar supremacy sasa wewe unataka tuiondoe eti kwa sababu hatutumii bidhaa nyingi kutoka marekani, unafikiri tutaweza???

Huku TZS inaporomoka thamani kila siku ingawa BOT wanajitahidi kusimamia matumizi ya shilling katika miamala ya ndani. Ila bado wafanyabiashara wanapendelea USD kwasababu inanguvu na inaimarika kila siku kuliko TZS. Bado ukienda kwenye mabenk ukiweka fixed deposit kwa fedha ya kigeni hususani UK pounds, Euro, USD unapata interest kubwa kuliko kuweka kwa TZS ndo maana kuna watu wanasema TZS ni fedha ya madafu . Kwahiyo usishangae kuona watu wanapenda USD.

Umejibu vizuri bro.

Kwa kuongezea, Alibaba ni mtandao wa wachina ila bei za kule zote zimewekwa kwa Dollar.
 
Back
Top Bottom