Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

Unajua mkiendeleza hivi mnavyowazungumzia hao watu weusi huko basi tutakuwa tunabariki uonevu dhidi yao kisa ni weusi, kwamba ukihoji unaambiwa we huwajui hao hawafuati sheria sijui wahalifu.

Watu weusi hawaonewi U.S. wamezoea kutilisha huruma tu. Huwezi amini South Asian, na waarabu ndio watu wanaobaguliwa Zaidi U.S lakini husikii kabisa masikitiko, wapo Bzy wanaendelea kupambanana.
 
Ok, bye!

Hawa Black American hawana tofauti na Wanyama aisee
 
Watu weusi hawaonewi U.S. wamezoea kutilisha huruma tu. Huwezi amini South Asian, na waarabu ndio watu wanaobaguliwa Zaidi U.S lakini husikii kabisa masikitiko, wapo Bzy wanaendelea kupambanana.
Kwahiyo huko U.S hakuna ubaguzi wa ngozi?
 
Ubaguzi wa mtu mweusi U.S ni hadithi za vitabuni tu, mambo yaliyopita miaka 50 nyuma. Hivi sasa watu weusi wanasumbuliwa na Deko.
Kwahiyo ubaguzi kwa watu weusi hakuna ila ubaguzi uliyopo ni kwa jamii ya waarabu na wa asia tu?
 
Wangempiga moja basi hata ya mguu
Kulikua na ulazima gani wa kumshoot eneo la hatari hadi kumsababishia kifo wakati aliweza kumpiga moja tu ya mguu?
Wasingemuua, Wangemshoot mguu ingependeza zaidi
Mimi na marafiki ambao wamekua na jamaa ambao ni mapolisi. Ni hivi, polisi Marekani huwa wana train kwenye shooting range zaidi ya mara tatu kwa wiki. Na target wanayofanyia training ni eneo la kifua, hivyo hawananaga mambo ya kulenga miguu au mikono. Wao wakishashika bunduki wanacholenga hapo tuu, na reflex yao iko hivyo.
 
Watu weusi hawaonewi U.S. wamezoea kutilisha huruma tu.
Systematic racism isikie tuu, kama hujaishi Marekani kwa muda huwezi kujua.
Huwezi amini South Asian, na waarabu ndio watu wanaobaguliwa Zaidi U.S lakini husikii kabisa masikitiko, wapo Bzy wanaendelea kupambanana.
Siyo kweli, kwanza hao waarabu wameanza kuja Marekani juzi tuu hata miaka 50 hawana, na walikuja baada ya hao weusi kumwaga damu ili watu wengine wasio wazungu kuweza kuhamia. Kabla ya civil rights law ni wazungu tuu ndiyo walikokubaliwa kuhamia Marekani. Cha kushangaza waarabu na hao waasia wakishafika hapa wanaanza kuwabagua watu weusi.
Ubaguzi wa mtu mweusi U.S ni hadithi za vitabuni tu, mambo yaliyopita miaka 50 nyuma. Hivi sasa watu weusi wanasumbuliwa na Deko.
Hujui ulisemalo wewe.
 
Halafu sasa ukute ugomvi ulikuwa kugombania mwanaume!

Hao waamerika weusi hovyo sana,hawataki kuishi kwa kufuata sheria huku wanataka sheria ziwalinde wanalalamika mbona weupe hawafanyiwi hivi wanashindwa kujua hao weupe wana-stick sana kufuata sheria hata kama nao wanavunja sheria siyo kwa kiwango kikubwa kama wao.
Una uhakika..mbona rate ya matumizi ya madawa ya kulevya kwa blacks na whites iko sawa..ila wahanga na walio fungwa wengi ni blacks..unalizungumziaje hili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na marafiki ambao wamekuwa na jamaa ambao ni mapolisi. Ni hivi, polisi Marekani huwa wana train kwenye shooting range zaidi ya mara tatu kwa wiki. Na target wanayofanyia training ni eneo la kifua, hivyo hawananaga mambo ya kulenga miguu au mikono. Wao wakishashika bunduki wanacholenga hapo tuu, na reflex yao iko hivyo.
Sasa polisi alikuwa na lengo kuokoa maisha au kuondoa maisha? kwa sababu risasi nne ni nyingi hivyo alikuwa alikwisha kusudia kuuwa.
 
Mimi na marafiki ambao wamekuwa na jamaa ambao ni mapolisi. Ni hivi, polisi Marekani huwa wana train kwenye shooting range zaidi ya mara tatu kwa wiki. Na target wanayofanyia training ni eneo la kifua, hivyo hawananaga mambo ya kulenga miguu au mikono. Wao wakishashika bunduki wanacholenga hapo tuu, na reflex yao iko hivyo.
basi mamwela wa huko wazembe na hawana shabaha kabisa haiwwzekani wakashindwa kupiga mtu risasi ya mguu wakati mi hata jwa jiwe la manati naweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom