Unajua mkiendeleza hivi mnavyowazungumzia hao watu weusi huko basi tutakuwa tunabariki uonevu dhidi yao kisa ni weusi, kwamba ukihoji unaambiwa we huwajui hao hawafuati sheria sijui wahalifu.
Ok, bye!
Ohio Horror: 13-Year-Old Black Girl Stabs to Death a 13-Year-Old Black Girl the Night Before Ma’Khia Bryant Killed by Police While Trying to Stab Teen Girl * The Gateway Pundit * by Kristinn Taylor
Cincinnati police reported Tuesday about a horrific murder of a 13-year-old Black girl who was stabbed to death by another 13-year-old Black girl during an…www.thegatewaypundit.com
Kwahiyo huko U.S hakuna ubaguzi wa ngozi?Watu weusi hawaonewi U.S. wamezoea kutilisha huruma tu. Huwezi amini South Asian, na waarabu ndio watu wanaobaguliwa Zaidi U.S lakini husikii kabisa masikitiko, wapo Bzy wanaendelea kupambanana.
Kwahiyo huko U.S hakuna ubaguzi wa ngozi?
Kwahiyo ubaguzi kwa watu weusi hakuna ila ubaguzi uliyopo ni kwa jamii ya waarabu na wa asia tu?Ubaguzi wa mtu mweusi U.S ni hadithi za vitabuni tu, mambo yaliyopita miaka 50 nyuma. Hivi sasa watu weusi wanasumbuliwa na Deko.
Wangempiga moja basi hata ya mguu
Kulikua na ulazima gani wa kumshoot eneo la hatari hadi kumsababishia kifo wakati aliweza kumpiga moja tu ya mguu?
Mimi na marafiki ambao wamekua na jamaa ambao ni mapolisi. Ni hivi, polisi Marekani huwa wana train kwenye shooting range zaidi ya mara tatu kwa wiki. Na target wanayofanyia training ni eneo la kifua, hivyo hawananaga mambo ya kulenga miguu au mikono. Wao wakishashika bunduki wanacholenga hapo tuu, na reflex yao iko hivyo.Wasingemuua, Wangemshoot mguu ingependeza zaidi
Systematic racism isikie tuu, kama hujaishi Marekani kwa muda huwezi kujua.Watu weusi hawaonewi U.S. wamezoea kutilisha huruma tu.
Siyo kweli, kwanza hao waarabu wameanza kuja Marekani juzi tuu hata miaka 50 hawana, na walikuja baada ya hao weusi kumwaga damu ili watu wengine wasio wazungu kuweza kuhamia. Kabla ya civil rights law ni wazungu tuu ndiyo walikokubaliwa kuhamia Marekani. Cha kushangaza waarabu na hao waasia wakishafika hapa wanaanza kuwabagua watu weusi.Huwezi amini South Asian, na waarabu ndio watu wanaobaguliwa Zaidi U.S lakini husikii kabisa masikitiko, wapo Bzy wanaendelea kupambanana.
Hujui ulisemalo wewe.Ubaguzi wa mtu mweusi U.S ni hadithi za vitabuni tu, mambo yaliyopita miaka 50 nyuma. Hivi sasa watu weusi wanasumbuliwa na Deko.
Ubanguzi kwa waarabu siyo wa kimfumo (systemic) bali hutokea tuu mara moja moja kama reaction ya hasira ya jambo fulani, mfano ugaidi au uchochezi wa kisiasa kama Trump alivyofanya kwenye Corona.Kwahiyo ubaguzi wa watu weusi hakuna kwa waarabu na wa asia?
Mbona kama wote ni weusi
Inategemea na mazingira ya tukioHivi askari waliokuwepo hapo walishindwa kumdhibiti mtoto wa kike mmoja mpaka risasi itumike...?
😅😅 Mwee,utalia kama punda jike...Washenzi sana.
Una uhakika..mbona rate ya matumizi ya madawa ya kulevya kwa blacks na whites iko sawa..ila wahanga na walio fungwa wengi ni blacks..unalizungumziaje hili.Halafu sasa ukute ugomvi ulikuwa kugombania mwanaume!
Hao waamerika weusi hovyo sana,hawataki kuishi kwa kufuata sheria huku wanataka sheria ziwalinde wanalalamika mbona weupe hawafanyiwi hivi wanashindwa kujua hao weupe wana-stick sana kufuata sheria hata kama nao wanavunja sheria siyo kwa kiwango kikubwa kama wao.
Sasa polisi alikuwa na lengo kuokoa maisha au kuondoa maisha? kwa sababu risasi nne ni nyingi hivyo alikuwa alikwisha kusudia kuuwa.Mimi na marafiki ambao wamekuwa na jamaa ambao ni mapolisi. Ni hivi, polisi Marekani huwa wana train kwenye shooting range zaidi ya mara tatu kwa wiki. Na target wanayofanyia training ni eneo la kifua, hivyo hawananaga mambo ya kulenga miguu au mikono. Wao wakishashika bunduki wanacholenga hapo tuu, na reflex yao iko hivyo.
basi mamwela wa huko wazembe na hawana shabaha kabisa haiwwzekani wakashindwa kupiga mtu risasi ya mguu wakati mi hata jwa jiwe la manati nawezaMimi na marafiki ambao wamekuwa na jamaa ambao ni mapolisi. Ni hivi, polisi Marekani huwa wana train kwenye shooting range zaidi ya mara tatu kwa wiki. Na target wanayofanyia training ni eneo la kifua, hivyo hawananaga mambo ya kulenga miguu au mikono. Wao wakishashika bunduki wanacholenga hapo tuu, na reflex yao iko hivyo.
Ndio wote ni weusi. We kwani ulielewaje?Mbona kama wote ni weusi
Nilijua mhanga ni mzunguNdio wote ni weusi. We kwani ulielewaje?
Kama ulikuwa hujawahi jua maana ya propaganda angalau leo umekutana nayo usi kwa uso. Ni kweli ukisoma inaonesha ni kama aliyetaka kuuawa ni mzungu so askari mzungu kamtetea mzungu mwenzie kwa kumuua mweusi.Nilijua mhanga ni mzungu