Najua. Ninachosema mbona hawalisemi hilo? Ukisoma link nimeitupia hapo utajua kuwa CNN ni propaganda machine. Boss wao alirekodiwa kwa siri akisema hayo siyo mimi.Aliyepona ni mdada, black. Clip ya CNN imeonyesha hilo
Heheheee angekuwa binti yako kwenye scenario nina uhakika comment ingekuwa tofauti. Ila kwa sababu humjui ndio basi tena.bora angemuacha amchome kisu.uenda angepona na hata angekufa ingekuwa kesi Kwa huyo aliyemchoma.lakini kumpiga RISASI 4 hapana.bora angempiga RISASI moja ya mkono au mguu
As far as this event is concerned, ni propagagnda ipi wanafanya? wao wanasema aliyepigwa risasi ni "black teen" - which is a fact. Pia wameandika maneno haya. "......the girl is seen holding a knife during a tussle with another young woman. An officer arrived at the scene and opened fire when the girl appeared to attempt to stab a second woman"Najua. Ninachosema mbona hawalisemi hilo? Ukisoma link nimeitupia hapo utajua kuwa CNN ni propaganda machine. Boss wao alirekodiwa kwa siri akisema hayo siyo mimi.
Na alisema pia kuhusu hii ya race. Unfortunately Watanzania hatuna kawaida ya kutafiti. Kila kitu tunakichukulia kama wale wadada wanaosutana. Ndio maana CNN wametukamata. CNN ni takataka na sio chombo cha habari
Nguvu inayotumika kwa mtu mweusi ni tofauti na mtu mweupe
Okay, kabla hujakataa angalia hii clip kwanza. Then utaelewa kwa nini ayepigwa risasi wameweka ni black na hawakuiweka ya yule wa piliAs far as this event is concerned, ni propagagnda ipi wanafanya? wao wanasema aliyepigwa risasi ni "black teen" - which is a fact. Pia wameandika maneno haya. "......the girl is seen holding a knife during a tussle with another young woman. An officer arrived at the scene and opened fire when the girl appeared to attempt to stab a second woman"
Fact kwamba hawajasema "another young black woman" sio hoja kwamba wanafanya propaganda. Siwatetei CNN ila hatupaswi kuangalia kila kitu kwa angle ya propaganda au ubaguzi.
Kwa hiyo bora yule angeuliwa ambaye hana makosa? si bora huyo muuaji kuuliwa maana nia yake mbaya ya kuuwa mtuAlichonya askari na alichokuwa anataka kufanya Dada mwenye kisu hakuna tofauti...huwezi kuokoa maisha ya mtu mmoja kwa kuua mtu mmoja.
MaBlack ni watatara sana. Hawanaga utulivu. Ila al in all ubaguzi umetamalaki
Mkuu unasema hivyo labda kwa sababu hayo mambo yanafanyika huko kwengine ila yangekuwa yanatokea huku kwetu pengine ungeeleza kwa vyengine kabisa matukio kama hayo, hata kama hawafuati sheria ila ukiangalia wanayoyafanya polisi huko ni zaidi ya raia kutofuata sheria. Niliona video moja polisi janamume zima limemkalia mwanamke kwa juu na kumbana mikono mbele ya mwanae mdogo analia tu, nilipatwa na hasira sana maana kwanza mwanamke asingeweza kumzidi nguvu yule polisi na pia hakuwa na silaha yeyote hivyo sikuona ulazima wa kufanya unyama ule ndio maana nasema wanachofanya polisi huko ni zaidi ya hilo la kwamba Blacks hawafuati sheria.
Kujeruhi asingetumia risasi nne, angetumia japo mbili kama kweli hakuwa na lengo la kuokoa maisha kwa kuondoa maisha lakini kupiga moja hadi nne inaonesha alikwishaamu kuuwa kabisa.Yote mawili yalikua malengo maana ukitizama video hakupata muda wa kutoa onyo kwa yule alieshika kisu so akaona apige risasi amjeruhi lakin majeraha yamesababisha afe so jibu alikua na malengo yote mawili
Na hawa jamaa zetu black hajui kufwata sheria hata mitaa yao haya mambo ya kawaida tu kupigana uhalifu halafu yakiwatokea haya ohh ubaguzi, hakuna ubaguzi wastaarabike kidogo hata kama mnagombana ndio mpaka mtoleane silaha.Polisi anahitaji pongezi
Kaokoa maisha ya mtu na kaua muuaji kabla hajafanya mauaji.
Ila sasa naona media chafu zishaanza kufanya ionekane kama ubaguzi wa rangi,
Fanya haya Tanzania tuone kama watakubembeleza kaa chini utapigwa tu hakuna askari wasiofuata sheria kama wa kwetu yule dereva alipigwa juzi sijui mbeya huko kafa siku ya pili report imekamilika alikuwa na corona mchezo umeisha maisha yanaendelea.Nina hakika hata kama hawa blacks wataamua kuja africa nchi nyingi zitawakataa maana ni watu wa ajabu sana ni watu wakorofi wasiopenda kufata sheria na kujificha kwenye rangi yao kuwa wanaonewa
Halafu hakuna mtu anaongelea yule siju baba black anampiga teke yule mdada sasa ingekuwa mtu mweupe kampiga yule dada teke ingekuwa nyimbo ya taifa. wamezidi wajiangalie tabia zao mbona sisi huku Africa tunaheshimu vyomba vya usalama hata kama hawako perfect lakini tunatii amri.Tatizo la watu weusi wanataka Uhuru uliopitiliza yaana wawe huru kwa lolote , mwisho wa siku wanavunja Sheria nyingi sna,
Mbka mamlaka zinawachoka
Kwahyo ni mwendo wa shaba tu
Mazafaka zao
Unajua mkiendeleza hivi mnavyowazungumzia hao watu weusi huko basi tutakuwa tunabariki uonevu dhidi yao kisa ni weusi, kwamba ukihoji unaambiwa we huwajui hao hawafuati sheria sijui wahalifu.Huwajui vizuri mkuu hao watu, huyo polisi unaemzungumza angeregea kidogo usikute angeishia kuchomwa kisu cha mbavu
Nguvu nyingi inatumika kwao ndio kwa sababu wanajulikani hawatii sheria ni kama vichaa,ndo wavuta bangi so ili ili polisi na wao wawe salama inabidi wawafyatulie masasi kwanza.Nguvu inayotumika kwa mtu mweusi ni tofauti na mtu mweupe
Heheheee angekuwa binti yako kwenye scenario nina uhakika comment ingekuwa tofauti. Ila kwa sababu humjui ndio basi tena.
Yaani uko tayari muhalifu apone ila ayehalifiwa afe? Hii logic ukivamiwa na majambazi utaitumia au inaishia hapa JF tu?