mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,042
Haya maneno ya kwenye khanga tu haya.Uzuri Urusi anaweza kuipiga Marekani nzima akiwa kakaa anatazama kwenye runinga
Alisikika Mlevi mmoja AkisemaKwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo.
Akiomba poo ndipo Warusi wataambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ilipe gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
Hii hurusi ambaye askari wake zaidi ya elfu20 wakiwemo majenerali 9 wameuwawa Ukreini kwa muda mfupi au kuna Urusi nyingine?Uzuri Urusi anaweza kuipiga Marekani nzima akiwa kakaa anatazama kwenye runinga
Unaota unakimbizwa na nyoka, amka mkuu.Uzuri Urusi anaweza kuipiga Marekani nzima akiwa kakaa anatazama kwenye runinga
Na mrusi size yake ni Ukraine mwezi wa tatu huu kamasi zinamtoka,Size ya USA Ni Iraq,Libya,Somalia na nchi za dizaini hio lkn sio Russia.
Wajijitutumue Basi waweke hata NO FLY ZONE pale UKRAINE Kama wao Ni wanaume.
Mimi mtu akipost upumbavu kama huu huwa nachukia sana. Yaan nchi inayozalisha silaha waishiwe silaha?? Tanzania tu ilipigana na Uganda na vita ilichukua mwaka mzima na haikuishiwa Silaha itakuwa Urusi?? Umeshindwa kuelewa kama kuna silaha ambazo ni Mass distraction??Kwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo.
Akiomba poo ndipo Warusi wataambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ilipe gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.Mimi mtu akipost upumbavu kama huu huwa nachikia sana. Yaan nchi inayozalisha silaha waishiwe silaha?? Tanzania tu ilipigana Uganda na haikuishiwa Silaha itakuwa Urusi?? Umeshindwa kuelewa kama kuna silaha ambazo ni Mass distraction??
Yaan Urusi hana akili ya kujua kuna possibilities za kutokea vita na NATO??
Umeona Urusi akitumia Silaha A kisasa zaidi hapo Ukraine?? Vikombora viwili vitatu na hapo anasubiri raia watoke kwanza.
Vita unayoisikia hakuna chance ya kuondoa raia ni kichapo mpaka raia wanakimbia wenyewe.
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.Urusi sio Libya Wala Iraq Wala nn...
Marekani alimshindwa Urusi pale Syria, sembuse Ukraine??.ambapo Urusi Ina masilahi makubwa kiuchumi, kisiasa, kihistoria, kiusalama, kimkakati???
Duuuuh!!!.
Amekwambia hayo ni mawazo yake, sasa shida nini?Alisikika Mlevi mmoja Akisema
Jamaa ana mikwara saana, alisema mtu akiingilia Ukraine kuipa msaada yeye ataipiga hiyo nchi, mbona hatupi hata kopo hapo UK, France, German? US tusiitaje kabisa.Na mrusi size yake ni Ukraine mwezi wa tatu huu kamasi zinamtoka,
Ajitutumue kuweka no fly zone ili kuzuia Ukraine asipate msaada na akina Boris wasiweze kutua kyiv au ajitutumua kumshambulia Marekani ili akome kumsaidia Ukraine asiishie kutoa maonyo tu.
Miaka 25 Urusi anawahubiria wokovu Ukraine hawakushika hata Aya moja wakaendelea kufukia vichwa vyao chini ya mchanga,,,,,acha tuu washikishwe adabu.Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
Hauna akili.. Nyerere alivyoivamia Uganda, alifanya ukatili??Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.