Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Kwa msaada wa watu wa Marekani......hao hao wamarekani ndio waliotumia kila njia mpaka tukaungana na Zanzibar mwaka 1964, lakini kwa sababu tishio la ukomunisti limekwisha hata muungano wetu kwao umepoteza umuhimu. Hizo ndizo siasa za dunia hii, zimekaa kimaslahi zaidi. DR Congo vita haviishi kwa sababu ya utajiri ambao Mungu ameijalia nchi ile, lakini siku madini yakikata wazungu na wavamizi wengine wote wataondoka. Ujanja ni kama alisema Mwalimu Nyerere, kujitegemea kwa kila hali.